@JamiiForums duuuu nawasiwasi .....hizi safari aisee.....kama ni kazi ya kila siku moro to dar ...unaweza mwezi mzima ukaja dar siku 12 tu kwa huu umeme ugonjwa wa moyo .....
@HildaNewton21 SAWA lakini pia program zifanyike hasa hapa ndani tz ....za maonyesho hasa exhibition, sehemu za kudisplay kz zetu , warsha na matukio mengine ya sanaa
aziz_6850 finding mood to art @ sketching time continue..........
Masai tribe # TRAVEL LIFE
Discover TANZANIA.... our tourism
Utaliii wetu, utalii wa ndani ,tembea ufurahie.......najaribu pen zangu
#LUSHOTO_KWETU
Wagosi wa Kaya @wagosiwakaya wauanza mwaka na LAAZIZI. Kama kawaida yetu wimbo umebeba ujumbe maridhawa kwa jamii yetu.
Mdundo wa Marco Chali @marcochali_ na chini ya Akili music ya Tanga @daniel_ally_khalifa
Sanaa ya uchoraji kutoka kwa @aziz_6850
# Sport review 2016.....David Beckham shows his tattoo at Peking university during his visit in beijing- The tatoo in Chinese characters reads "Life and death are determined by fate, rank and riches decreed by Heaven # pencil art by me 2016 @aziz_6850
Moja kati ya hip hop shule , wenye nyimbo kali na mashairi yalionyooka yasio na chembe ya viashiria vya matusi ni hawa jamaa @ Wagosi wa kaya big up to them !!