Tukiwa katika wiki ya kupinga ubeberu duniani, na mwezi wa kumbukumbu ya kifo cha mpendwa wetu hayati Mwalimu J.K. Nyerere pamoja na mwanamapinduzi Ernesto Che Guevara, JULAWATA inautolea mwezi huu kuwa maalum kwa ajili ya mshikamano na wamachinga nchi nzima.
Katikati ya Ujamaa, niliona Vijana wenzangu wakitajirika hovyo tu. Nilikuwa Maganzo. Shinyanga kilometa chache kutoka Mwadui. Ilikuwepo Shida ya maji. Vijana wanaamka saa kumi kwenda getini Mwadui Mines, kuchukua maji. Wanauza Debe Shilingi moja. Saa mbili Usiku wanafunga kazi!
We demand the unconditional release of all arrested @luchaRDC activists. The DRC government should make efforts to assure its citizens' security and not to undermine those who relentless fight for it.
#Goma: Une fois de plus, notre manifestation pacifique dénonçant la persécution des voix critiques en #RDC et appelant à la libération d'activistes detenus, dont notre camarade @MwamisyoNdungo, vient d'être réprimée. 12 camarades ont été brutalement arrêtés puis détenus. 1/3
A user made an 11-minute compilation of the most magnificent scenes from the footage Al-Qassam has released in the past few days 🔥 the rеsistance is alive and well, glory to the freedom fighters
https://t.co/SO2qk8aq9D
"The singing left, dancing centre, and now dining right did not happen by chance. ACT-Wazalendo was dragged, and so did they drag themselves into the neoliberal political rat race."
Hello, what do you think of my recent article? Enjoy.
Thanks @TheChanzo
Afrika ni ya waafrika wote waliopo barani na nje ya bara letu, hivyo ukombozi wa bara letu ni jukumu letu waafrika wote tuliopo ndani na nje ya Afrika.
WATUNZA MISINGI wanatekeleza wajibu huo wa kihistoria na katika hili wanatualika katika akisi na tafakari ya pamoja.
✊✊✊
“Kwa maoni yangu, kuendelea kukodisha vivuko kutoka kwa kampuni ya AZAM Marine Ltd kunaathiri uendelevu wa huduma ya kivuko katika Kituo cha Magogoni - Kigamboni, hali hii inasabisha Wakala kuendelea kutegemea ruzuku ya serikali kugharamia shughuli zake badala ya kujitegemea"CAG
@EduTalkTz Natamani tuanze na maana ya hizi teminoloji Ubepari na Ujamaa, tuelezee Ujamaa ni nini? Ubepari ni nini? Tukimaliza tuendee kusema kwa nini Ubepari kwa nini Ujamaa.
Honoured to attend a reception in celebration of the 60th anniversary of diplomatic relations between Tanzania and China. Homage to the great socialists of the 20th C, #Mao Tse Tung and Julius K. #Nyerere for laying the foundation.
“Malcolm, for the first time today in recorded history, a former colonial country has been able to develop weapons at par with any colonial power. This is the end of colonialism through and through.” Nyerere to Malcom X, on China’s development of nuclear power, 13th October 1964.
In the past two decades, a succession of crises has led to the rise of authoritarian states, acutely showing how capitalism and democracy were never compatible to begin with.
https://t.co/OBViHgflY1
Makala haya yametafsiriwa na ndugu @thomasjkibwana na kuchapwa katika ukurasa wa Sauti ya Ujamaa, chanzo ni kutoka makala ya kingereza yaliyochapishwa na Ukurasa wa @jacobin kiunganishi kiko chini hapo, https://t.co/L6efxOmvhf