Kama unae BABA yuko Hai, Omba Mungu ampe maisha Marefu na yenye Baraka tele. Kama alitangulia mbele za Haki , Omba Mungu ampe pumziko la Milele. BABA ni BARAKA pekee ambayo huwezi kuibadili. ✊✊💪💪
#HappyFathersDay
@WizarayaUJ nikwanini @tanroadshq wanaweka bamsi na rasta barabarani alafu awaweki vibao vya kuonyesha ivyo vitu ndo utaratibu au? Unapita sehemu leo kesho unarudi unakuta bamsi na hakuna kiashiria chochote
Haya ndio mambo yalivyo mtaani
Na Chande alitakiwa kuwaambia CCM ukweli
Mtaani watu wanawaona CCM kama komba komba na wezi tu wananchi wanafanywa punda