We are human, we are not perfect. We are alive, we try things. We make mistake, we stumble, we fall. We get hurt, we rise again. We try again & we keep learning
Tarehe 14/2/2018 Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) walitoa Waraka uliokuwa maalumu kwa ajili ya Kwaresima na Sikukuu ya Pasaka. Waraka huo ulisainiwa na Maaskofu 35 toka Tanzania nzima ulikuwa na ujumbe mkali dhidi ya serikali hasa kuhusu uchaguzi na vyama vya upinzani kunyima haki ya kikatiba kufanya mikutano, maandamano na makongamano bila sababu zozote za msingi za kisheria.
Ujumbe huo ulisoma na kusambazwa na aliyekuwa katibu mkuu wa TEC wakati huo Padre Raymond Saba. Mara baada tu ya Padre huyo kusoma Waraka huo serikali ilimnyanyasa sana na kumtesa ikiwemo kumnyang'anya uraia wa Tanzania. Padre huyo akaanza kusumbuliwa sana na shinikizo la damu, figo na moyo na baadae alifariki licha ya matibabu aliyopatiwa nchini India na Vatican alipoenda kukaa kwa muda kidogo baada ya kufukuzwa nchini kuwa sio raia.
Jana baada ya kupita takribani wiki tangu katibu wa baraza la maaskofu Tanzania Padre Charles Kitima kusema serikali isiwapangie cha kusema kwenye kutetea uovu hasa juu ya masuala ya uchaguzi huru na wa haki naye amejeruhiwa.Kujeruhiwa kwake kumtokea huku Rais na baadhi ya viongozi wengine wa serikali ikiwemo wapambe kama Steve Nyerere wakiwa wametoa matamko kadhaa kuonya dini na taasisi za kidini kutokuzungumzia masuala ya siasa.
Swali la kujiuliza hapa ni je mambo haya yaliyowakuta makatibu hawa wawili wa TEC 2018 na 2025 ni "coincidence" tu au kuna kingine?
Ugua pole sana father Charles Kitima.
I am contacting the Vatican for support in the fight between good and evil unfolding in Tanzania. Attacking a priest is an attack on humanity and honour itself. The CCM and President Hassan bear responsibility for this violence.
We are deeply saddened and shocked by the assault on Father Charles Kitima yesterday night. We pray for his recovery and that he can continue his important work in support of all Tanzaniansโ right to education, democracy and freedom of speech.
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa taarifa rasmi ya kuvamiwa na kuumizwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza hilo, Padre Padre Charles Kitima, jana Aprili 30, 2025.
Baraza, limewaomba waamini waendelee, kuombea taifa amani na kumwombea afya njema Padre Charles Kitima,
alipigwa risasi lakini hakufa Bali aliishi na alimsamehe mtu aliyempiga risasi.
Nne, Asiache kusema ukweli hatakama utawaudhi watawala au kutishia uai wa maisha yake.
Tano, yeye sio mtume wa kwanza au wa mwisho kupitia Changamoto hizo.
#Gatewellwellsoonkitima
Ukipata wasaa mwingine wa kuonana nae mfikishie salamu zangu kwamba
Mosi, sisi wakatoliki YESU KRISTU ndie mwanasiasa watu wa kwanza na kifo chake kinajulikana dunia nzima.
Pili, Mitume 12 walioteuliwa na YESU mwenyewe walikufa vifo vya aibu sana.
Tatu, Papa Yohana Poul wa II
Nimemtembele Father Dr.Charles Kitima.Hakika lilikuwa shambulio baya lenye lengo la kudhulumu maisha.
Mungu ni mwema sana anaendelea vizuri.Huu ni Ujumbe wake kwetu
....Lazima Tuwe Imara kusimamia masuala ya Msingi katika Taifa.
Hatutakiwi kuogopa kulipa gharama katika kusimamia haki na Wajibu wetu kwa Taifa.
Kila Mmoja atalipa gharama kwa kiasi chake na hilo lazima tuwe tayari.
Tunapozungumzia mambo ya Msingi Kitaifa yanayotakiwa kurekebishwa ili uchaguzi ufanyike kwa haki tusiogope kulipa gharama.
Father Dr.Charles Kitima leo Tarehe 1 May 2025.
Naunga mkono hii post. BRILLIANT. Na kuwatangazia kuwa BARBRO JOHANSON VOCATIONAL TRAINING CENTER in IT and COMPUTER SCIENCE hapo Mnazimmoja jengo la Ushirika itafunguliwa karibuni. Ukihitimu unapata Cheti cha NACTVET ukiwa na uwezo ama kujiajiri au kuajiriwa katika fani yako kwani ujuzi wa kompyuta unahitajika katika fani zote na akili mnemba (AI). Maelezo zaidi wasiliana na Katibu Bi Nancy Peter 0686952787. Tunapokea wahitimu kuanzia darasa la 7 hadi Chuo kulingana na mahitaji yao. Wanafunzi wa sekondari watapewa programu kulingana na silabasi yao. Karibuni.
Ni ngumu sana Mwananchi wa kawaida kuendelea kuamini kuchangia operation kadhaa! Mnatifuana mkidhani mna gain sifa kumbe mnazua maswali, Join the chain ilikuwa ni ya chama wala si watu kadhaa! Wenje kapotoka
"Chadema ni dude kubwa sana", so they say. And it is true. But so was CUF. Or KANU kwa majirani. Ukiwa mkubwa, behave like mkubwa. Yanayoendelea ndani ya chama hicho muda huu hayaakisi kuwa chama hicho ni kikubwa kihivyo. Labda ukubwa kama ule wa kuku wa broila โบ๏ธ
#HII_HAUTAFUNDISHWA_DARASANI
Unajua kwamba ukifa, the moment watu wamemaliza tu kukufukia(kuzikwa) dakika chache sana mbele vilio vyote vitanyamaza na watu wataacha kulia, tena wengine watakuwa wanacheka na kupiga story za kawaida kuhusu maisha yao wakati wanarudi majumbani.
Usifikirie Ndugu na familia yako wote watakaa tu wakilia muda wote, la hasha watatafuta bar ya jirani watakunywa na pombe, na wengine watazinywea hapo hapo kwenye nyumba ya msiba huku wakipiga story kuhusu yanayoendelea mtandaoni!!
Wapo watu wako wa karibu saaaana hawatakuja msibani kwako wala hawatakuja kukuzika wakisingizia wamepatwa na dharura!!
Hata mwajiri wako hatasubiri wiki iishe atakuwa ameshamtafuta wa kuku-replace na office itakusahau mazima.
Ndugu jamaa na marafiki watatawanyika jioni hiyo hiyo kurudi makwao kuendelea na shughuli zao.
Baada ya wiki watoto wako watarudi shule na kuendelea na maisha yao.
Baada ya wiki mpenzi/mke/mume wako atakuwa anatazama post za vichekesho mitandaoni na kucheka!!
UTAKUWA UMESHASAHAULIKA!!
Wapo wengine watu wako wa karibu kabisa usiowadhania usiku ule ule wa msiba wako watamfariji mke/mume/mpenzi wako na kum-seduce walale naye kimapenzi.
Wanaweza kumhadaa anywe kilevi kidogo kupunguza mawazo ya msiba wako, na kilevi kikianza kushuka hawatamuingiza ndani akapumzike, watapita naye.
Mwingine ataingia kwenye mahusiano mapya mwezi mmoja tu kabla ya 40 yako kufika!!
Ukiwa unazikwa wengine wala hawatasogelea kaburi lako kumwaga mchanga, wataishia mbali kabisa kwenye parking ya magari yao, wakiwa wanapiga story zao na kucheka na kubishana kuhusu siasa na mpira na wala hata hawatasikiliza mawaidha ya sheikh au mchungaji katika safari yako ya mwisho, ni kama wamekuja tu kukamilisha ratiba!!
NAAM UTAKUWA UMESHASAHAULIKA! TENA UTASAHAULIKA NDANI YA MUDA MFUPI SANA MARA TU BAADA YA KUFUKIWA!!
Kama watu hadi ndugu zako watakusahau kirahisi na kiwepesi hivyo, sasa UNAISHI MAISHA YAKO KWA AJILI YA NANI?
Maisha yako yote unaishi kwa kuhofia watu watakufikiriaje? watakuchukuliaje? watakuonaje?
My friend They dont!!
SO ISHI MAISHA YAKO KWA AJILI YAKO MWENYEWE!!
Unajitoa, unajinyima, unapambana,unahangaika, unateseka, unamwaga machozi, jasho na damu ili uwahudumie wengine, uwasaidie ndugu, uwaokoe marafiki na uwalinde waliokuzunguka.
TENA WAKATI MWINGINE INAKUGHARIMU HADI UHAI & AFYA YAKO KWA KUJITOA KUWASAIDIA WENGINE.
Na hao hao wanakuja kukusahau dakika chache wakishakufukia ardhini!!
NB. Sisemi usisaidie watu, ndugu, jamaa na marafiki.
Rudia tena kusomaโ๏ธUtanielewa.
"Mimi nimewaambia hawa viongozi kwamba kwenye mikutano ya Mwenezi hakuna mtu kubebwa, acha watu waje wenyewe ili tujuwe kukubalika kwetu kwa wananchi, tusijidanganye, eti wanakuja viongozi pelekeni magari, mimi nikija hata kama kuna watu kumi (10) nitazungumza nao hao hao na tutakuwa tumejuwa kumbe tunakubalika kwa watu kumi tu, ili tujuwe kosa letu ni nini, tutafute mwarobaini" -Makonda
Paul Makonda ambaye ni Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa amezungumza hayo akiwa Njombe mjini leo, Ijumaa Februari 09.2024
Leo umefariki, na watakaoandika Historia yako lazima watazungumzia uamuzi huu ilioufanya mwaka 2008. Uamuzi ambao wanasiasa wengi wanashindwa kuufanya kwa sababu ya maslai yao binafsi. Hakika katika siasa vita umevipiga na mwendo umeumaliza. R.I.P #edwardlowassa