"Je mimi ni nani ?
Ikiwa katika maisha ya watu mimi ni kile KISODA ambacho huwekwa kuisimamisha meza isiyumbe au mimi ni ule mguu mfupi wa meza unayeifanya meza iyumbe?.
#TutaelewanaTu2026
~King Manjagata
"Success attracts enemies .Progress invites jealousy.Being too friendรฑy invites a lot of disrespect .If nobody hates you ,you are not MAKING it in life".
#TafutaHeshima2026
~King Manjagaata
"You will lose a lot of friends when you get SERIOUS about your GOALS.Thats why a Lamborghini has 2 seats and a bus has 50."
#Tutaelewana2026
~King Manjagata
"Aliyowahi kuyapitia MC PILIPILI kwenye mahusiano yake yanawatesavijana wengi sana kisa KUPENDA,ila tafuteni PESA tu zitakusaidieni".
#RIPMCPILIPILI
~King Manjagata
Alisikika Ngosha mmoja akisema
"Namba ni ya SIRI naingiza bank wanasema nimekosea je wenyewe WAMEIJUAJE".๐๐๐๐
Ela zetu ziko mashakani ee๐๐
#TafutaPesa2025
~King Manjagata