X-UPDATE🚨
Kwenye X TL Yako POST(s) na REPOST(s) Zimetenganishwa Kwenye Tabs Tofauti.
Mwanzo Zilikuwa Zimechanganywa Pamoja Na Kusababisha Wengine Kuto-RT Post Za Watu Kwa Kuogopa Kuchafua TL Zao.
Sasa Huna Sababu Ya Kuto-RT Post Za Wengine, Hutachafua TL Yako.
Chapa REPOST✅
@incrediboss@SelcomPesa Kabisa, kuna bro wangu mmoja ni mfanyabiashara pale K/koo. Akienda China, wateja wanatuma pesa benki lakini hapokei message; mpaka atumiwe risiti ndipo a-check kwenye app kama balance imeongezeka. Inakuwa usumbufu sana kwake yeye.
Tangu Nigundue Haka Kaunyama,
kelele za Mameseji Zimepungua Kama sio Kuisha Kabisa.
Kwenye SelcomPesa App Nenda:
Profile👤>Settings⚙️> Notification Via🔔
Chagua Whatsapp💬.
SMS zote za Miamala Utatumiwa Kwa Whatsapp.
#ElimikaWikiendi
Available Appstore na playstore
Wewe kama unauza digital product yoyote unaweza ukapublish https://t.co/ZiwV0XUi15 na ukaweza kutrack mauzo yako kwa urahisi zaidi na watu wakalipia hata ukiwa umelala usiku wa manane 🫵🏾 haina haja ya wewe kuwa active ili kuwahudumia wateja wako