😂kuna namna ukikaa kwa mama Rahma lazima mikono isome ugangster, hapo nmetamani tembele imebidi niingie kuchuma mwenyewe😁
Frame 4 wakishua watadhani hapo ni kwa mganga ilikua inapikwa ndagu🤣
Support Baraza Kuu La CHADEMA
Mchango tume hapa
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
#SamiaMustGo#FreeTunduLissu#TanzaniaMassacre
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
DGD1Y1S8P7 Imethibitishwa Tsh1,000.00 imetumwa kwa 255744446969 - CHADEMA DEMOKRASIA HQ Tarehe 13/7/26 saa 7:10 AM Jumla ya Ada Tsh30.00 (M-Pesa Ada Tsh30.00 + TOZO ya Serikali Tsh0.00)...utaratibu ni ule ule mpaka baraza kuu lifane @HecheJohn@frediejustine@amina_hafidh
Namshukuru Mungu kwa asubuhi ya leo na pumzi aliyonipa leo kwaajili ya kumtumikia na kulitukuza jina lake...🙏
Naomba Bwana Mungu wangu ukakae ndani ya Moyo wangu,kanibariki na kunisaidia kwenye majukumu yangu sawasawa na mapenzi Yako!.
kanipe moyo wa uvumilivu,Hekima na Busara kwenye majukumu yangu.
Bila wewe mimi si chochote Ameen🙌🙏
Good Morning X Family🙌🙌
ASANTENI WATANZANIA! TUMEFIKIA TSH. MILIONI 20
Tunawashukuru kwa moyo wenu wa kujitolea na kuendelea kuunga mkono Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334 kwa ajili ya kufanikisha Baraza Kuu la Umma litakalofanyika Septemba 15, 2026.
@Bendevelarian98 Mimi hili nimekuaoma choote kama softu copy kupitia scribd yaaan ni hivi naenda scribd nachukua screen shot ya page Moja baada ya Moja kusha naenda chatgpt ananitafsiria hio screen shot kwa kiswahili napata maaarifa au simple sana jamaaa humu natoa mambo mengi kuhusu magufuli
TAARIFA KWA UMMA
CHANGIA KIKAO CHA BARAZA KUU KITAKACHOFANYIKA TAREHE 15/09/2026
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
MARATHON KUFIKIA TSH. MILIONI 334 INAENDELEA!
Safari ya kujenga nguvu ya mabadiliko inaendelea. Lengo letu ni kukusanya TSh. Milioni 334 ili kuwezesha kufanyika kwa Kikao cha Baraza Kuu kitakachofanyika Septemba 15, 2026.
Mpaka sasa tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 10, lakini bado tuna safari ya kufikia lengo letu. Zimebaki siku 64 pekee.
Kila mchango, mkubwa au mdogo, una thamani. Changia leo na uwe sehemu ya kuhakikisha Baraza Kuu la Wananchi linafanyika kwa mafanikio.