@TheGwe1113@NjengeYahya Kingine mnataka ionekanae De Lima mechi zake zote alikuwa anacheza na mabeki, the likes of Gattuso, Nesta nk. Hakuna mtu anapinga uwezo wa De Lima but, kwanini tusimpe Maua De Lima bila kumfanya Mbappe kana kwamba ni mbovu na vile anacheza tu na mabeki wabovu.
@TheGwe1113@NjengeYahya Unataka kumaanisha nini mzee, kwani Mbappe anapanga aina ya mabeki wa kumkaba, kingine kama Hawa mabeki ni wabovu sanaa kwanini strikers wengine Wanastruggle kwa haohao mabeki au wanakuwa wepesi tu wanapocheza na na Mbappe.
@JJMaxmillian@mee_nicodemus Unaweza kuongeza CB na DM na Bado tukaruhusu goals nyingi tu, the big problem ni our structure OOP, distance btn the last line of defense na Midfielders hapo, No compactness then hakuna namna unaweza kuepuka magoal, na hapa sijasema kuhusu rest defense yetu tukiwa ni possession