Wakuu mkishaona Mwanamke anasema "Nataka Mwanaume Sahihi kwenye Maisha yangu " Basi ujue Hiyo Sahihi Ni PESA msije Mkachanganya Mambo Anko zangu ππ€
Mimi nachukia machizi ambao wanaendeshwa na hao wanawake wanaofake life, yani unakuta msela anapelekeshwa na dem ambaye anauza koumer kimkakati na yeye anakuwa boya anamprovaidia kila kitu anachotaka na wakati anajua kabisa akikosa iyo ela ya kumtunza hatokuwa nae tena.