Ni Party la Machampions linalowakutanisha Mashabiki wa Arsenal katika Viwanja vya Posta (Kijitonyama) Jijini Dar es salaam, siku ya Jumamosi Mei 30, 2026.
Mashabiki wa ‘Washika Bunduki’ hao wanakaribishwa kujumuika pamoja bure bila kiingilio huku Supu ya Mbuzi ikiwepo kwa sharti moja tu, uwe umevaa jezi ya Arsenal.
Party la Machampion litasindikizwa na burudani kutoka wasanii mbalimbali wakiwemo Madee, Fid Q, Dully Sykes na Mbosso.
Shughuli hiyo inakuja kufuatia Arsenal kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England, ikiwa ni mafanikio yao ya kwanza baada ya miaka 22.
#MillardAyoUPDATE
🚨🔴⚪️ Crystal Palace accept tonight £60m package from Arsenal for Eberechi Eze, agreement club to club done.
Arsenal finalising contract terms with Eze with player keen on joining #AFC project.
⏳🧨
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Abbas Tarimba amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima kupitia Kamati ya Maadili ya Chama hicho, kufuatia kauli alizotoa dhidi ya Rais, alipozungumza na Waandishi wa Habari, Mei 24, 2025
Akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, leo Mei 26, 2025, Tarimba amesema kauli za Gwajima kuhusu madai ya utekaji ni za kudhalilisha na hazikubaliki
Soma https://t.co/mbpQeMF1dA
#JamiiAfrica #JamiiForums #Kuelekea2025 #Uwajibikaji #SocialJustice
VIDEO:
Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Esther Matiko, amesema kuwa falsafa ya maridhiano, mageuzi, upendo na ustahimilivu (4Rs) inayosimamiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, haipaswi kutumiwa kama mwanya wa kuvuruga heshima ya Taifa na kumdhalilisha Rais.
Akichangia hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Mhe. Matiko amesema kuwa huko nyuma, licha ya viongozi wa upinzani kukamatwa na kufunguliwa mashtaka, hakuwahi kushuhudiwa vitendo vya dhihaka na matusi dhidi ya Rais kama inavyoshuhudiwa sasa kupitia mitandao ya kijamii.
"Huko nyuma hatukuwahi kuona haya mambo yakitokea. Kwa nini yatokee sasa? Kuna jambo linafichwa. Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, aliwahi kukaa ndani kwa muda mrefu, lakini hatukuona aina hii ya dharau kwa Rais," amesema Matiko.
Ametoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuwachukulia hatua watu wote wanaojihusisha na vitendo vya kumvunjia heshima Rais na kuvuruga amani ya nchi kupitia majukwaa ya mitandao.
@CarolNdosi Ujinga ni kwamba kuamini chadema watashinda majimbo bila mabadiliko, ingawa umeshuhudia chaguzi za 2020 ndogo na kuu na chaguzi ndogo za 2025, kwamba zilikuwa za haki kwa wananchi na vyama vya siasa vya upinzani??
@CarolNdosi Dada usiwe mjinga mjinga chadema wanataka mabadiliko kwenye tume ya uchaguzi, wanataka uchaguzi uwe wa huru na haki, au wewe unaamini uchaguzi ni wa huru na haki na wanacho kipigania sio sahihi.
@Twaha_Mwaipaya@godbless_lema@Ntobi_ chief hiki anachokiongea Lema ni kweli mfumo ulivyo?? Kama ni kweli ipo hivi, Kwann unataka kufanya uchaguzi chini ya mfumo huu na ukitegemea utatendewa haki kwa wapiga kura wako na wewe kupata ushindi kupitia chama chako.