Sauti ya #Tumaini na digiredio
Je hivi ni vigezo gani venye huangaliwa kabla ya mwathiriwa wa korona kuruhusiwa kupokea matibabu nyumbani?
Hii ni sabalkhery #CaptainNAafande#Boilo @ Malindi, Kenya https://t.co/G94KVzHaNa
Ijumaa iliyopita tulikinukisha sana sanaa ndani ya TABASAMU kazini Leo basi itakuwa zaidi ya siku zote ,tuingieni mduarani kwa misasambuko kabambe #radio jahazi # Mary wa karissa
Unatabasamu wapi na kina nani? https://t.co/e3vMrtWjje
#TumainiHewani Digi Radio
Je!walezi wanapaswa kufanya nini wakati wanapomtunza mgonjwa wa korona??
#tabasamu kazini#radio jahazi https://t.co/OFE71yvCyU