Baada ya ushindi wa kishindo wa Marehemu Dkt. Ndugulile, tunarejea tena kwa kishindo kikubwa zaidi kupitia Prof. MYJanabi @moddyyakubu mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani- Kanda ya Afrika. Sifa na Vigezo anavyo. Ushindi ni Hakika. #VOTE4JANABI
🇹🇿🇺🇳
Candidates for the post of World Health Organization (WHO) Regional Director for Africa, @WHOAFRO
All the best Hon. @DocFaustine | #Ndugulile4WHOAFRO 🗳️✅
TADB, BoT wazindua programu ya mafunzo ya kuboresha ukopeshaji katika sekta ya Kilimo
TADB kwa kushirikiana na Chuo cha Mafunzo cha Benki Kuu (BoT Academy) wamezindua programu ya udhibiti wa wataalamu wa ukopeshaji sekta ya kilimo katika Ofisi ndogo ya BoT, Dar Es Salaam.
Join #EACOP MOOC #Tanzania, a comprehensive program designed to empower young Tanzanians with knowledge and skills. 🚀✨
Discover a pathway to success and broaden your horizons. Enroll today and embark on a transformative learning journey!
Details 👉 https://t.co/ZMVQA9ydvc
Comrades; We should be uplifting each other up and cheering each other on, not trying to outshine one another. The sky would be awfully dark with just one star. Good Morning
Leo nimeshiriki mjadala unaohusu ushirikiano katika teknolojia za Kilimo (IEVEXPO) kati ya Korea na Afrika. Nimepata fursa ya kuzungumza na makampuni yanayojihusisha na teknolojia za kilimo pembezoni mwa mjadala huo na kuwajuza juu ya mahitaji na fursa zilizopo nchini Tanzania
Mapema leo nimewasilisha Hati zangu za utambulisho (Credentials) kwa Mhe. Joko Widodo, Rais wa Jamhuri ya #Indonesia katika hafla ilifanyika Kasri la Merdeka. Hatua hii inashiria kuanza rasmi kwa utumishi wangu kama Balozi wa #Tanzania hapa. #kaziiendelee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇮🇩🇮🇩🇮🇩
We are outsourcing almost everything from everyone. Could we change the National values or think outside the box, or both. Which leg should we start with?
Leo nimekutana na Balozi @AndyRachmianto Mkuu wa Itifaki wa Serikali ya #Indonesia ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuwasilisha Hati yangu ya utambulisho kwa Mhe. Joko Widodo, Rais wa Jamhuri ya Indonesia mapema wiki ijayo kuashiria kuanza rasmi kazi yangu ya uwakilishi
PRESIDENT Hage Geingob on Friday morning announced that Namibia and Botswana nationals would soon be using their identity documents (IDs) as travel documents between the two countries.
Read more:https://t.co/47SZ9nnIpE