@SFRCdems@SenTedCruz@SenatorShaheen It is better to start with your president to be held accountable for invasion Iran, Venezuela and many other country and to cause serious violation of human rights, don't point a finger to others and you forget about your evil actions, I am sorrow for wrongful
Kumbe unaweza kushiriki kikao ukiwa marehemu? Mmoja kati ya hawa tuliambiw ameshatangulia mbele ya haki, kumbe ilikuwa uongo? X zamani tweeter hivi vinawezekanaje, marehemu kushiriki kikamilifu na watu wazima bila kuweweseka akijadiliana kwa kuonana na kushikana? Maajabu
Aliposhindwa kesi na Ndg. J. Mbatia na baada ya kuona alama za NCCR-MAGEUZI zinamkataa akaona arudi kula matapishi yake, hawa ndio maadui wakubwa wa siasa za Tanzania, wameigeuza demokrasia kuwa midomo yao ya kuzaja matumbo yao,kesho utasikia na yule wa Iringa amerudi,hivyokabisa
Siasa za maji taka, lati ningekuwa mimi huyu jamaa huyu, hasingerudi na nisungemnadi jukwaani, kwa kuwa tumeanza kuwarudisha mamluki, basi akina Halma James Mdee, warudishwe bila masharti, maana wote walikiujumu chama, Selasini alishindwa kesi na Ndg. J. Mbatia
Siasa zinapogeuka kuwa uchochoro wa kufichia dosari za anguko la madeni, aliama, haina maana hawezi kurudi alikotoka, lakini kwa nini uliondoka na kukiacha chama unachodai ndio kimbilio la watu? Tuambie ulidanganyika na nini hadi ukatimkia NCCR-MAGEUZI? Uliongwa?
@HecheJohn Njia zipo nyingi Mh. Makamu, kwanza atoke M/kiti, aliyekuwa makamu aliomba kukutana na Rais ili M/kiti awe uraianni, naaam ilitiki na ikaleta impact kubwa sana, na wewe unatakiwa kufanya kama alivyofanya yeye, hizi tume zitatuchelewesha sana, kuja kwao bado kutatushelewesha
Kipindi fulani tuliambiwa kila kinywa kitanena, sasa vyote vinanena tena kwa lugha, alikuwa makamu akaomba kukutana na Rais ili kuona namna ya M/kiti anatoka mahabusu, na hivi ndivyo huyu wa sasa angetakiwa kufanya, uongozi ni maono badala ya minong'ono
Dalili ya wazi kabisa kwenye nchi ya asali na maziwa, ukifanya fyoko utakula MIKWAJU ni MIKWAJU juu ya MIKWAJU, hii picha inanikumbusha mengi sana, nchi ya kidemokrasia, kuna kiongozi anatakiwa kufanya hivi kama alivyofanya wakati Mbowe yupo mahabusu... shuka
Ameshika nafasi ya tatu kwenye horodha ya Tanzania: SENIOR DEMOCRACY INFLUENCERS karibuni sana kitakuwa mtaani, kila kona kitapatikana kwa BEI YA WAKATI WA SASA unayemfikiria huyumo