"Mahakama ya Rufaa imetoa muda wa mwaka mmoja kufanya marekebisho ya vifungu no. 13 na 17 vya Sheria ya Ndoa kwa Serikali, hivyo basi tunaamini Serikali yetu itafanya mabadiliko kwa ajili ya kumlinda mtoto wa kike." @TawlaTZ
Oxfam through UCRT provided four sunflower processing machines to women and youth groups in Hanang district to improve the quality of their sunflower produce and increase their income. Thanks to @oxfamhongkong for funding this project.
Matumizi ya teknolojia ni muhimu katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa wakulima wadogo. Asante Mhe. Dr. @HKigwangalla kutembelea na kuzungumza na wakulima katika maonyesho ya NaneNane2019, Nyakabindi, Simiyu. @TzRedeso
Smallholder agriculture remains vital in efforts to achieve poverty and hunger eradication. We are committed to engaging with GoT to ensure that issues of women small scale producers are reflected in the national budget and ultimately improve their access to land,water,seeds, etc
@OxfamTz and Partners are committed to engaging with GoT through Min.of Agriculture to achieve 10% of the national budget in line with the #MaputoProtocol. We are reflecting, learning and strategizing with other Agriculture Coalition Members and key GoT officials in #Dodoma today
Imebainika katika kililmo wanaume wanashughulika zaidi na kusafisha shamba shughuli za kulima, kupanda, na kupapalia zinafanywa na wanawake na vijana #ClimateSymposium
"Joto limeongezeka kwa kiwango cha juu, mahindi tuliyolima yamekauka shambani. Viongozi wetu waje kututembelea kama wanavyofanya wakati wa kupiga kura ili kujionea changamoto tunazokutana nazo. Akina mama tumezidiwa Zaidi," Anna Loshoru, @MamaShujaaTz#ClimateSymposium
Ni lazima tuwajengee uwezo wananchi wetu katika kutambua madhara ya mabadiliko ya tabia nchi. Tuwatambue viongozi wetu wa kimila kwani wana ufahamu mkubwa wa changamoto za tabia nchi na wamekuwa wakitio ushauri mzuri. #ClimateSymposium@OxfamTz
"Women should be at the centre as we are discussing the effects of climate change today. They are the ones who are more affected by the effects of climate change," Hon. Upendo Peneza, MP addressing #ClimateSymposium @OxfamPanAfrica
Development policies are meant to transform citizens' livelihood as such they have to know and participate in formulation of these policies. It is high time for them to know these policies including climate change policies. #ClimateSymposium
Tusidhani kwamba bajeti kubwa za mazingira zitaleta mvua ni jukumu letu kwa pamoja kutumia chochote kilicho ndani ya uwezo wetu kukabiliana na athari za tabia nchi #ClimateSymposium@OxfamTz@forumcctz
https://t.co/i3MnIbxBai
Sasa tuna wakimbizi wanaotokana na mabadiliko ya tabia nchi. Watu wanakimbia maeneo yao ambayo yamekuwa makame sana na yanatishia uhai wa mifugo yao ~ Mh. @JMakamba
Uhaba wa nishati mbadala Kama gesi kusambazwa sehemu kubwa ya nchi yetu imekuwa changamoto kwa wakina mama na kuendelea kukata kuni ambapo athari zake ni kubwa katika tabia nchi ~ | @Jovie65 kutoka @OxfamTz#ClimateSymposium