Staki marafiki wengi heri wachache wa ukweli masiku za wiki kwetu ni kama wikendi usinichukulie vibaya kama haunipendi sikupendi @Kitu_Sewer#CommitteeYaMaovete
@Kitu_Sewer is underrated. Huyu rapper ni mnoma for real.
Mistari safi, aki aim ku transform mtaa na music.
Kun Faya Kun, Wanasiasa & ngoma more, inspiration big time.
Kila youth ako na talent, yako ni gani? #Crime au ugaidi sio talent. Tuchoree fom kama hizo.
#YK92#JKLive
Kuna mahali watu hulipwa kuzaa. Wengine hulipwa kuua. Ukiumia si kila mtu analia. Ukinawiri si wengi wanafurahia. As sure as vile jua ita tua. Chafua Leo, kesho utafua. Ile uko nayo ndio yako. Kwa jirani toa macho. Twitter ni ka mlango, yangu imevunjika handle.