@Phbhimself Tabora wapo wengi sana na wanauliwa kama kawaida ila wana timing zao japo ni hatari pia shida yao kubwa hawapendi kelele lakini pia wanaliwa na bundi yaani bundi akimuonda huyo anachekelea msosi
@GeraldLudovick@PresenterNoah Una akili sana wewe tukikubali tumekwisha haya mambo kidogo yafanyike kwa wadogo zao mwanza kule tukakaza sasa naona jana naona wamerudi tukikubali tutaburuzwa sana