"Machawa" wana jipendekeza mpaka Boss ana nuna. Kuna Polisi kakoswa mtama hapo ๐๐ WanaNchi sasa wameanza kuchoka na hizi Mbanga.... #HadiPolisiNowWanakulaMitama
Kuna watu wajinga sana! Eti mlikua mnasema mnataka mchongoka! Kwani huo mchongoko ni kwa faida ya familia zetu au ya nchi kwa ujumla! Tunaongea kwa faida ya Taifa na sio majungu wala kusutana; Bata Wahedi Nyinyi
Sasa Mwanzo mlikuwa mnabisha nini kwamba hizo nyingine ni slow train !!?
Hizi za sasa ndio walau express ambapo ni vichwa viwawili na behewa 4 ina maana hapo hiyo ni set moja sio matrain mawili haya ni moja vichwa viwili
Punguzeni uongo uongo
๐
28-29 March @SalmaAliHassan8 (DPP Znz) na @tanpol walitueleza watu 12 wamekamatwa kwa kula hadharani Znz wakati wa Ramadhani na eti kuna sheria inakataza
Leo wanatufokea eti si kweli na hakuna sheria as if tulisema sisi ๐
#TutaelewanaTu
How it started โ๏ธ How itโs going
@IAMartin_ Kwanza nilishtuka sana nilivyosikia akisema Habarini za saa hizi! Kwenye huo ukumbi ni nani rika lake? Itifaki yakipuuzi kabisa hii!
Mtoto anaeleza kabisa kwamba yeye ndie Rais ajae wa hii nchi๐คฃ๐คฃ๐คท๐ฝ! Umenena vyema tusiongee sana kwakua ana wazazi wake basi tuache wafu wazikane
@SuluhuSamia alitupa uhuru wa kumkosoa lakini tukimkosoa tunaambiwa tukosoe kwa staha, tunaambiwa tunaongea kwa jazba, tupo kama wakimbizi wasiokuwa na haki ya kuzungumza sababu sio nchi yao. โ @KomuBazo#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi VIDEO : https://t.co/GogAXqxBWi