🗣️ “Sio sahihi kumzungumzia mchezaji mmoja mmoja kama nilivyozungumza hapo mwanzo kuwa usajili uliofanywa ni wa kuwapongeza viongozi na ni kazi kwetu kuwafanyia kilocho bora,”
“Onana kama unavyotaka nimzungumzie ni mchezaji mzuri anajua kukaa kwenye nafasi atafunga sana msimu