Mwanamume anahitaji kujiamini ili kufanikiwa katika nyanja zote za maisha.
Kujiamini si kitu unachozaliwa nacho, ni ujuzi unaojifunza na kuukuza.
NJIA 10 ZA KUKUZA KUJIAMINI
Fungua thread ๐งต ๐๐พ
Nimemtumia Mama Ebra Elfu 20 Yani Kanipigia Simu Kanishukuru Kama Dakika 10 Hivi, Mungu Akubariki Kama 18 Hivii Kanipa, Na Kwenye Ile 20K Ametoa Elfu 5 Kaenda Kuandikisha Misa Ya Kuniombea Ulinzi Na Baraka Jumapili Ijayo!!๐
Kuna Babe Nimeitumia Jiwe Mbili Kiuno (250K) Kwanza Haijaniambia Kama Imepata, Nikaipigia Kuiuliza Kama Imepata, Inanambia Haina Vocha Niitumie, Na Ile 250K Haimtoshi Kuna Nywele Inauzwa 300K So Niiongezee Fisi!!
Mamae Walah!!
Yaani Kwaio Nisingeanza Kumalizana Na Bi Mkuu Ilikuwa Ile 50K Yake Pia Apite Nayo!!๐
Oii Wanangu Tuwekezeni Kwa Mamaza Zetu, Kuna Mamanzi Hawana #Uchungu Na #Hawathamini Hata Kidogo Hussle Zetu!!
#NISHAACHANA_NAYE๐
https://t.co/r57tDkI9zp
TAARIFA; Ahsante wote tuliofika Julius Nyerere International Airport (JNIA) kumpokea ndugu yetu, Edgar Edson Mwakabela, @Sativa255. Ni upendo mkubwa sana na tuendelee kushikamana hivi, watesi wetu waogope. Hii ndiyo taarifa sahihi na rasmi kuhusu ndugu yetu. #justiceforsativa
9๏ธโฃMazingira na Uhifadhi
Elewa kuhusu umuhimu wa kulinda mazingira na juhudi zinazofanyika kuhifadhi maliasili. Hii ni muhimu kwa kuendeleza maisha endelevu.
Ufahamu kuhusu mambo ๐๐ฟ kutakusaidia kuwa raia mwenye mwamko na mchango mkubwa kwa jamii nchi yako kwa ujumla.
ASANTE ๐๐ฟ