Mwanaume Asiyejiamini Siku Zoote Siraha Yake Huwa Ni KUKUONDOLEA WEWE HALI YA KUJIAMINI, Yaani Yeye Kukufanya Ujione Duni Kunampa Amani Zaidi.
Mwanaume Wa Aina Hii, Atakupiga Vita na Kukuwekea Vikwazo Ili Usiwe Zaidi Ya Vile Ulikuwa Jana na Juzi.
Sio Kwa Sababu Hakupendi Au Hapendi Mafanikio Yako, Bali Anaamini Akikuacha Ukawa Bora na Ukamzidi Yeye Atakosa Sauti Kwako na Utamtawala.
Chakufanya, Muoneshe Kwamba Hatakiwi Kuhofia Wewe Kuwa Bora. Muoneshe Kuwa Utaendelea Kuwa Mwanamke Mwema, Mtiifu na Msikivu Mbele Yake Hata Kama Utafanikiwa.
@isaack_nsumba
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo September 10, 2025
Part 1
Kesi imeanza
Kasimama Wakili Nassoro Katuga anatambulisha Jopo la Mawakili wa Serikali kama kawaida yao.
Wapo mawakili sita wanaiwakilisha Jamhuri.
Katuga anasema mshitakiwa yupo.
Anaulizwa Mhe. Lissu nae anasema yupo tayari.
Majaji kama kawaida wapo wote watatu.
Katibu Mkuu wa Chama pia yupo hapa ameingia.
Kumbukeni leo tuna kesi mbili na ile ya mgawanyo wa mali za CHADEMA
Baadhi ya Mawakili wameanzia huko.
Sasa anasimama Job Mrema Wakili wa serikali.
Job Mrema: Naomba nianze kusema naunga mkono yote aliyosema Nassoro Katuga na naomba niongeze baadhi ya vitu.
Kuhusiana na Presidential Affairs Act kifungu cha 9 kinaelezea utaratibu ambao upande wowote unataka kuwaita mashahidi kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Lakini kifungu cha 9 tulichosema jana kilikuwa cha zamani lakini kwa mabadiliko ya sheria ya sasa sio kifungu cha 9 bali ni cha 10. Kwahiyo tunaomba ieleweke kuwa ni kifungu cha 10 pale kwenye tisa sio.
Kifungu cha 2 cha Sheria hii kinamtaja Rais, Makamu na Waziri Mkuu.
Hivyo kwa utaratibu ulioainishwa kwenye kifungu cha 10 unawazungumzia hawa vipngozi watatu wote.
Mashahidi hao wakihitajika utaratibu wa kufuatwa ni huo hapo.
Naomba nikisome tafadhali.
Anaanza kukisoma hicho kifungu cha 10.
Kingereza fulani cha Uyole 🤣🤣huyu sijui kama ni mchaga kweli.
Kwahiyo tumesema haya ili utaratibu ueleweke.
Compliance ya hiki kifungu haikufanyika. Na mshitakiwa alishauriwa kama anataka hao wawe mashahidi wake atakuja kuomba jambo hilo hapa mahakama kuu.
Mahakama hiyo ndio hii tuliyopo sasa anapaswa kuomba sasa kwasababu ndio inauwezo wa kusikiliza shauri.
Na kimsingi naomba kusisitiza hajaathirika na chchote kwasababu ndio kwanza mahakama inaanza.
Waheshimiwa majaji jambo kubwa tunalofahamu kwamba mahakama hii itajiuliza.
Je pingamizi lililoletwa na mtuhumiwa liko sawasawa mbele ya mahakama hii.
Lakini pia naomba kufanya marejeo ya kesi kama tatu.
1. George Aldon Kilinga and another vs Anna Joseph Riwa and another Civil appeal no. 6 2023 TZ HC 19093.
2. Joseph Mkenda vs Ladislaus PC Civil Appeal No. 132, 2023 [2024] HC 56
3. Commissioner General Tz Revenue Authority and AG vs Milambo Limited Civil appeal No. 62/2022
Anasimama Mh. Lissu anaomba wampe Nakala ya kesi wanazotaja.
Jaji anasema mpatieni sasa.
Katuga anasimama anasema jaji zipo kwenye mtandao hizi kesi.
Mh. Lissu anasema sasa niko gerezani nazipataje huko mtandaoni? Watu wanacheka🤣🤣
Jaji anasema sasa mawakili wa serikali mpo wengi sana chaguaneni mmoja akazilete hizo printed case.
Anaondoka Wakili mmoja.
Anasimama Katuga anasema naona mahakamani yupo mtoto ni kinyume na sheria kifungu cha 193 cha CPA.
Jaji anasema haya muondoeni huyo mtoto.
Ni kama watu wamesikitika fulani. 🤣 ika ndio sheria sasa.
Dogo alikuwepo ana umri kama wa miaka 13 hivi amekula suti amependeza sana na alikuwa anasikiliza kwa hisia sana.
Anaonekana ana ndoto ya kuwa Wakili pia huyu na alivyo alivyo huyu dogo ni kama anamkubali Mh. Lissu.
Ipo siku tutapata story yake bila shaka hata kama ni baada ya miaka 15. Kuna siku anaweza kuja kulielezea Taifa kuhusu kisa hiki akiwa tayari amekuwa Wakili labda enzi hizo wahenga wanasema muda ni mwalimu mzuri.
Haya anaendelea Mrema sasa.
Mleta pingamizi hakuieleza mahakama anaposema mahakama hii haina jurisdiction kwa mfano pecuniary jurisdiction au nyingine.
Alivyotaja hiyo pecuniary mawakili wamecheka.
Watakuwa wameelewa jambo ambalo sisi ma layman hatuelewi.
Mawakili wamecheka kwa dharau nahisi kutakuwa na kaujinga hapo.😂😂😂
Nitawauliza niwape mchapo baadae.
Je mahakama hii ina mamlaka au laa ndio hoja kubwa sasa mwenzetu hajasema hayo mamlaka ni yapi katika zile aina za mamlaka zinazojulikana kisheria.
Part 2 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako kwenye tweet hii.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo Septemba 9, 2025
Part 1
Kesi imeanza Mhe. Lissu ameingia. Katuga amesimama na kutambulisha jopo lake na mshitakiwa amesema yuko tayari.
Jaji amesema naomba nitoe mrejesho wa tulianzia wapi jana na tuliishia wapi? Ametoa huo mrejesho kuwa sasa tuendelee na lile pingamizi la endapo mahakama hii ina mamlaka ya kuendelea.
LISSU: Mh. Jaji nashukuru, jana nilipewa nafasi nikasome. Sasa hiyo kazi nimeifanya usiku kucha kwahiyo naomba kwa kuanzia nieleze tofauti zilizopo kati ya hizi nyaraka mbili na ili nisiwachanganye ninaposema rekodi ya Ukonga maana yake ni ile niliyoletewa na hakimu wa mahakama ya Kisutu na hakimu FRANCO KISWAGA ndio alimpa Kamishina mSaidizi wa Polisi Rabi Stima.
Rekodi ya Ukonga nina maana ni hiyo nyaraka niliyoletewa na Hakimu Kiswaga.
Kwahiyo nikisema rekodi ya Mahakama hii nitakuwa namaanisha ile niliyopewa jana.
Sasa naomba nianze.
1. Utofauti wa rekodi ya Ukonga ina kurasa 16 tu. Rekodi ya Mahakama hii ina kurasa 101. Sasa hizo kurasa zingine zilikuwa wapi? Nyaraka za mahakama zinawezaje kuwa na utofauti wa namna hii? Katuga hawakumpa hii niliyonayo mimi.
2. Rekodi ya Ukonga haina ile scanned berg (kibox pembeni kulia) inamaanisha ni original. Sasa ya ukonga haina lakini niliyopewa jana inazo hizo scanned berg. Sasa ililetwa na mahakama lakini sio original.
3. Rekodi ya ukonga inaanza tarehe 18/08 na inaishia Tar. 18/08. Kwa kifupi ilianza siku hiyo hiyo na kuishia siku hiyohiyo. Kesi ilianza na kumalizika siku hiyohiyo. Rekodi ya Mahakama hii imeanzia April 10, 2025 na kuishia Agosti 18, 2025. Mliyonipa hapa ilikuwa imekamilika kwa kila kitu.
4. Ukurasa wa 1 wa rekodi ya Ukonga na Ukurasa wa 86 wa rekodi ya Mahakama hii. Ukiangalia ile ya Ukonga page 1 ni kwamba commitall proceedings ilianza immediately. Yani mwanzo pale committal proceedings open, evident on itself lakini kwenye rekodi ya mahakama hii ukurasa wa 86 kulikuwa na ubishani mkubwa sana ambao umerekodiwa. Utaona baada ya corum kuna heading inaitwa Proveedings Mr. Katuga alielezea mambo kadhaaa.... ilianza hivyo. Kinachofuata kuanzia page 86 hadi 89 ni submissions kati ya prosecution na mimi mwenyewe. Rekodi ya ukonga mabishano hayo hayapo kabisa. Lakini hii niliyopewa hapa kila kitu kipo.
Utaona kwa mfano ukurasa wa 87 rekodi ya mahakama hii Hakimu alisema nimezingatia mawasilisho ya pande zote. Na akatambua uamuzi wa mahakama kuu. Mambo hayo kwenye document nikiyoletewa hayakuwepo na hakuambatanisha.
6. Kwenye ukurasa wa 15 wa rekodi ya Ukonga kuna orodha ya mashahidi halafu kuna maneno kuwa na mimi mshitakiwa I WILL CALL THE FOLLOWING WITNESSSES
Lakini kwenye ukurasa wa 100 wa rekodi ya Mahakama hii inasema I will call my witnesses and I will have my Advocates.
Kwenye rekodi ya ukonga na kwenye orodha ya mahakama hii hawajaandikwa mashahidi wangu.
Sio kwamba hawakuwepo, niliwataja lakini nyaraka hizi hazina majina hayo.
1. Samia Suluhu Hassan
2. Isdory Mpango
3. Kassim Majaliwa
Hao wote niliwataja lakini hawakuandika kabisa.
Nitarudi kwenye hilo la majina baadae.
Lakini ieleweke kuwa majina hayo nilitaja mchana kweupe kila mtu alisikia na ilikuwa kwenye Open Court. Aliamua kwa matakwa yake mwenyewe kutokuyaandika.
Hizi nyaraka zote zimetoka Kisutu na zinadai kuwa ni committal proceedings.
Which one is forgery and which one is original.
Mahakama hii inapaswa kujibu why this differences?
Jana niligusia kidogo kwamba kulikuwa na maahirisho mengi sana.
Nilisema yalikuwa zaidi ya 10 hayo maahirisho. Niliposoma usiku nimegundua iliahirishwa mara 13.
Kesi inapoahirishwa kwenye commitall proceedings s. 265(1) the court must record the reason of adjournment and for reasonable cause that adjournment can be granted.
Na hiyo sababu ya msingi lazima iandikwe katika mwenendo.
Sasa nataka nioneshe namna mahakama ya Mh. Franco Kiswaga ilivyoheshimu huo utaratibu wa kisheria.
Part 2 inaendelea post inayofuata.
Naomba Repost yako kwenye tweet hii.
Sadala anahitaji sana Elimu kichwani mwake,
Mambo simple tu anashindwa kuelewa anasema wapinzani wapo kazini 😀😀🚮🚮🚮
Kupata pesa bila kuwa na elimu ni mzigo kwa jamii
Tanzanian activist Edgar Mwakabela, known as Sativa, says he was kidnapped, beaten and shot after criticising the ruling party.
He blames security forces, as abductions of government critics rise ahead of October’s election.
https://t.co/JYwrLBxBqq
On the left was the Paratrooper in the making at Mzumbe special school, before he became the chief monk in Jehovah Wanyonyi's shrine.
He then rose through various ranks to end up being the commander of the hand to mouth battalion.
He has an insatiable appetite to animal marginal parts mostly the grenades and hooves (A physique designed for speed)
For refreshment, he drinks the cultural requirement called Sisal Juice alias "Jet A1" the aviation fuel
When you encounter with him, you wil recognise him by his trademark of being a clueless, colourless and odourless old man always chewing mugombero the turbo charger mined in Ngudu forest.
He is a regular mvivu who defied hardworking.
He is walking on foot not because he is allergic to fancy cars like Abduli's, but because he has not been afforded an opportunity to steal from the government
His only duty is to wake up early in the morning and starting to blame the government for the tribulations he authored himself.
When you say anything bad about him in the somersaulting arena(the comments space) He will hit you with a landmine
Kutoka mezani kwa Dada wa Taifa @mangekimambi.
Hii nchi inaliwa aisee haya mambo hatukuwahi kuyaona awamu zilizopita yani
Rais Nyerere alikuwa na watoto,
Mwinyi alikuwa na watoto,
Mkapa alikuwa na watoto,
Kikwete alikuwa na watoto,
Magufuli alikuwa na watoto,
Hatukuwahi maujinga ya aina hii kutoka kwa watoto wao.
Lissu’s incarceration shall not deter the fight for a better TZ 🇹🇿
Here’s Lissu in John Heche.
In Heche, Lissu breathes.
In our defiance, Lissu lives.
Because we stand, he hopes.
Because we rise, he endures.
#WeAreTunduLissu#IamTunduLissu#NRNE
#IamTunduLissu is a gesture of solidarity.
To ensure Lissu’s voice isn't silenced.
And that the call for electoral justice is a shared aspiration.
We’ll gather here today at 12 noon.
To protest chanting #IamTunduLissu.
Please be there.
Are you Tundu Lissu?
Si tu kwamba T. Lissu anajitetea mahakamani dhidi ya kesi mbaya zaidi kuwahi kutokea nchini🇹🇿
Lkn pia:
-Anainspire junior lawyers
-Anatufundisha sheria buree
-Anatoa motisha ya kujiamini na kuwa jasiri
-Anaonyesha uozo uliopo ktk mihimili yetu
In my books; this man is a GOAT🐐