Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @zittokabwe, akitaja sababu ya nne miongoni mwa sababu 5 za WanaKigoma kuikataa CCM.
πUkumbukwe sababu ziko nyingi, ila Zitto alizitaja tano tu.
#KaziNaBata#ChaguaACT2020
Leo Septemba 25, 2020 Kiongozi wa Chama, Ndugu @zittokabwe atakuwa katika Viwanja vya Jumba la Maendeleo jimboni Muhambwe. Huko atamnadi Mgombea Ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya @ACTwazalendo, Ndugu @juliusmassabo
Nyote MNAKARIBISHWA.
#KaziNaBata#ChaguaACT2020
Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @zittokabwe akizungumza na wakazi wa Jimbo la Kasulu Mjini wakati wa Uzinduzi wa kampeni za mgombea Ubunge wa jimbo hilo, Ndugu Hamza Mtunu.
(Picha na Said Powa)
#KaziNaBata#ChaguaACT2020
We will seek an attractive export market for creative works such as blacksmithing, sculpture painting and other handicraft products.
#KaziNaBata#ChaguaACT2020
Tutaimarisha ubora na kutafuta soko la nje kwa kazi za ubunifu kama uhunzi, uchongaji, uchoraji na bidhaa zingine zitokanazo na kazi za mikono.
#KaziNaBata#ChaguaACT2020
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini ndugu, @zittokabwe akihutubia pamoja na kuomba kura kwenye mkutano wa hadhara katika viwanja vya kata ya GUNGU.
#KaziNaBata#ChaguaACT2020
Kesho Tarehe 24 Septemba, Kiongozi wa Chama, Ndugu @zittokabwe atakuwa katika Mkutano wa Kampeni wa Jimbo la Kasulu Mjini, ambako atamnadi Mgombea Ubunge wa jimbo hilo, Ndugu Japhary Hamza. Wakazi wa Kasulu Mjini na maeneo ya jirani nyote mnakaribishwa.
#KaziNaBata#ChaguaACT2020
Tuna wajibu wa kuirejesha nchi katika misingi yake. Shiriki sasa kwa kuchangia fedha katika namba zifuatazo.
Tigo Pesa 0713957977 Jina ACT Wazalendo Finance
Mpesa 0744959112 Jina ACT Finance
NMB
A/C Number 22610026136
A/C Name ACT Wazalendo Uchaguzi.
@zittokabwe
"Watumishi wa Umma wameanza kupandishwa madaraja tangu wiki iliyopita na pia wanalipwa pesa zao. Nawaambia kuwa hayo ni matunda ya Kazi yetu wanasiasa wa Upinzani kuwasemea. Nawasihi sana watupigie kura nyingi ili tuunde Serikali itakayoheshimu Utumishi wa Umma."
@zittokabwe
KC
Leo Kiongozi wa Chama, Ndugu @zittokabwe atakuwa Kigoma Mjini katika Viwanja vya Gungu kuanzia saa 8 mchana. Wakazi wa Kigoma Mjini na maeneo ya jirani nyote mnakaribishwa.
#KaziNaBata#ChaguaACT2020