Jamani huyu ndo msemaji wa Jeshi Kanali Gaudentius Gervas Ilonda! Wiki 2 tu zilizopita alikuwa kwenye media!
Huyu Kanali Bernard Masald Mlunga anakaimu tokea lini?
Huyu Kanali MLUNGA alikuwa mlinzi wa Magufuli.
JAMANI MPAKA SASA MUNGU YUPO UPANDE WETU WANANCHI, DALILI ZOTE ZINAONYESHA NCHI INAENDA KUKOMBOLEWA KUTOKA MIKONONI MWA WAKOLONI WEUSI. KAMA NILIVYOWAAMBIA SIKU CHACHE NYUMA KUWA JESHI LIPO UPANDE WETU, LINATAKA LIONE TUNATOKA 29.10 LENYEWE LIINGIE KUWEKA NGUVU.
KWASASA TUNAWEZA KUKWAMISHWA NA MTU MMOJA TUU, YULE AMBAE ATABAKI NDANI 29.10, TUKIWEZA KUTOKA KWA MAMILIONI NCHI NZIMA BASI HILI TAIFA ASUBUHI TUU LINAKUWA MIKONONI MWA WANANCHI. KWAHIYO USIKUBALI KUWA KIKWAZO CHA KULIKOMBOA TAIFA KWASASA, HAKIKISHA UNATOKA 29.10.
TUJAZE BARABARA ZOTE ZA NCHI NZIMA TUIMBE NYIMBO MOJA TUU YA UKOMBOZI. HAKIKA TUTASHINDA, HAWA VIBAKA WA JESHI LA POLISI WANAJUA KABISA HAWANA UWEZO WA KUZUIA NGUVU YA UMMA, NDIOMAANA WAMELETA MATEMBEZI YA VYOMBO VYOTE VYA USALAMA KUTISHA RAIA.
WEWE HAKIKISHA HUWI SEHEMU YA KUTUKWAMISHA 29.10.
REPOST 200.
#OKTOBATUNATOKA
#SiriNiNamba
#TUPOWENGI
#TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
Lengo la ccm kuteka na kupoteza kila kijana anaeweza kusema ukweli, kukemea uovu na kukosoa serikali ni.
1. Kutengeneza kizazi photocopy ya watu, watu ndondocha wasioweza kuhoji wala kukosoa chochote.
2. Kuwa na Taifa la machawa wanaoimba nyimbo za kusifu na kuabudu viongozi.
3. Kutengeza Taifa ambalo linaamini kwamba Barabara ikitengenezwa, shule ikijengwa, zahanati, hospital au mradi wa maji ukijengwa ni hisani ya viongozi na serikali kwa umma.
4. Kuwa na vijana ambao wanaaminishwa kwamba serikali na viongozi ni sawa na mungu hawakosei, Kwahiyo ukiwakosoa stahili yako ni kufa.
5. Kuwa na vijana ambao hawawezi kuhoji kuhusu ajira, wala ujira kwasababu wanajengwa kuamini kwamba kazi ya kutoa ajira na kujenga uchumi sio kazi ya serikali.
6. Kujenga watu ambao wanaaminishwa kwamba rasilimali za Nchi ni mali ya Rais Kwahiyo anaweza kuamua chochote juu ya ardhi, madini, misitu na maji yetu na hatuna haki ya kuhoji.
Vijana wa Tanzania msikubali kuingia kwenye mnyororo huo wa ujinga.
Nchi hii ni mali yetu wote, ukinyamazia utekaji unabariki uovu, mkiruhusu watu wanaosema wakatekwa na kupotezwa kwa kiwango cha waovu kufanikisha wanachotaka, Nchi itakua na hali mbaya zaidi.
Tukipiga kelele kwa wingi wetu bila kuchoka hawataweza, maana hawana uwezo wa kututeka wote.
Paza sauti kataa uovu na uhuni.