Picha kushoto ni mshahara wa Mwalimu mwenye degree anae Anza kazi, Picha ya kulia ni Polisi mwenye degree Anae Anza KAZI (Constable)
Swali, kati ya watumushi Hawa wawili yupi anatumia kipato chake efficient and effectively?
Ukijifunza kuwa mjinga kidogo, Utajifunza mengi kuhusu watu na tabia zao bila kutumia nguvu na itakusaidia kujua namna ya kuishi na watu wenye tabia tofauti na kuepusha shari nao.
Good morning X Familia 👊🏾
Kama usipokua makini na hicho kiburi chako , utajikuta unashindana kuwaangamiza watu ambao ulitakiwa ujifunze kutoka kwao kwa usalama wa nafsi yako 🤔 .
Ni kama vijana akili zetu zimeishia kwenye nyumba za kupanga na kujaza kila kitu ghetto tukiamini ndo mafanikio ila hii inshu inaweza kutucost miaka ijayo
🏗️ MAKOSA 5 YA KUEPUKA KABLA YA KUANZA UJENZI!
Kabla hujaanza ujenzi wa nyumba au jengo lako, kuna mambo muhimu unayopaswa kuzingatia ili kuepuka gharama zisizopangwa, migogoro na changamoto zinazoweza kuchelewesha mradi wako.
Haya ni makosa matano unayopaswa kuyaepuka:
1️⃣ Kuanza ujenzi bila ramani sahihi: Hakikisha unapata Architectural & Structural Designs zinazoendana na mahitaji yako, matumizi ya jengo na bajeti yako.
2️⃣ Kupuuza upimaji wa eneo: Hakikisha mipaka na vipimo vya kiwanja vinajulikana kabla ya kuanza ujenzi ili kuepuka migogoro na makosa ya upangaji.
3️⃣ Kuanza ujenzi bila makadirio ya gharama (B.O.Q.): Bila makadirio sahihi, unaweza kukutana na gharama zisizotarajiwa na kusimama kwa mradi katikati.
4️⃣ Kupuuza taratibu za vibali vya ujenzi: Hakikisha unafuata taratibu za kisheria na kupata vibali vinavyohitajika kabla ya kuanza kazi.
5️⃣ Kuchagua mafundi bila kuzingatia utaalamu: Ujenzi unahitaji wataalamu wenye ujuzi na uzoefu ili kuhakikisha ubora, usalama na uimara wa jengo.
Kumbuka: Ujenzi wenye mafanikio huanza na mipango sahihi, si matumizi makubwa ya fedha.
Katika GEOTRAVERSE Group of Companies, tunakuunganisha na wataalamu wa masuala ya ardhi na ujenzi ili kukusaidia kufanya maamuzi sahihi katika kila hatua ya mradi wako.
Huduma zetu zinajumuisha:
▪️ Architectural & Structural Designs
▪️ Building Plans & Approvals
▪️ Bills of Quantities (B.O.Q.)
▪️ Land Surveying & Consultancy
▪️ Construction & Project Management
📍 Tupo Dodoma, Barabara ya Tisa.
📞 0719 336 667 | 0763 782 274 (WhatsApp)
@Geo_Traverse | @GeoConstructors
💬 SWALI KWAKO: Kati ya makosa haya matano, ni lipi unadhani watu wengi hulifanya wanapoanza ujenzi? Tuambie kwenye comments.
GEOTRAVERSE – Your One-Stop Solution for All Your Land and Construction Issues.
#GeoTraverse #GeoConstructors #ConstructionTips #UjenziTanzania #LandSurveying #Architecture #ConstructionManagement
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
https://t.co/bkonJGPQ2J
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Unapogundua unayempenda hakupendi basi fanya hivi
- Kubali ukweli.
Utaumia, utahuzunika, utapata fadhaiko na utasononeka
Lakini ruhusu ukweli ubaki kuwa ukweli.
Usianze kujidanganya vinginevyo na kutafuta sababu, bali kubali kwamba wewe sio chaguo la kwanza.
Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.
Kutoka 14:13