@Mwabuk2Boniface Kitu cha kwanza walipo mkuta kwenye picha inaonekana ni kijinini so kama ni kijinini kuna taarifa zingetoka hapo kijijini na wananchi wangekua wengi ila kwa 7bb wanajua sisi ni wajinga kama wao ndo maana wanatoa taarifa nyepesi kama hyo, pili wanatumia nguvu kubwa mno kwenye hamn
@HildaNewton21 Yani mtu huyo hoi, ajitambui wanasema anamadeni, alikua na demu, ana msongo wa mawazo, alafu wanaenda na media kwa ajili ya kutengeneza propaganda ili ionekene kweli kwa sasa ivi watanzania wamesha toka kwenye enzi za ujinga