MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
Juzi RPC wa Mkoa wa Mbeya alitangaza kupitia vyombo vya Habari kwamba Jeshi hilo limewauwa watuhumiwa watatu wakati wakijaribu kuwakimbia Polisi.
Watuhumiwa hao ni Marwa Nyahende, Edward Kayuni na Websta Mwantebele lakin ukweli ni kwamba hao Watuhumiwa hawajauwawa kwasababu ya tukio la kutekwa Shyrose Mahande bali RPC wa Mbeya kaamua kupindisha ukweli makusudi.
Hao Watuhumiwa watatu ambao wameuwawa walikuwa miongoni mwa watu ambao wanaunda kikosi cha Watu wasiojulikana Mkoani Mbeya na wanafanyakazi chini ya Ofisa wa Polisi ambae anaitwa Shabani na RPC wa Mbeya anafahamu kuhusu jambo hili.
Hao watuhumiwa watatu walikuwa waajiriwa wa Serikali kwenye JWTZ na JKT ila kwa nyakati tofauti walifukuzwa kwasababu ya utovu wa nidhamu.
Kwa mujibu wa mmoja wa wana Familia za marehemu hao anasema kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera, RPC wa Mbeya Benjamin Kuzaga na Coplo Shabani waliwapa hao Watuhumiwa kazi ya kumteka Mdude Nyagali na waliahidi kuwapatia Shilingi milioni 100 baada ya kufanikisha kazi hiyo.
Lakin baada ya kufanikisha kazi hiyo Coplo Shabani aliwapatia shilingi milioni 20 tofauti na makubaliano yao kisha akawaambia pesa nyingine angewapatia baada ya wiki lakin hakufanya ivo.
Baada ya hapo akina Marwa walianza kudai pesa zao kwa nguvu, Shabani akawa anawazungusha mwisho alianza kuwatisha kuwa atapoteza kama wakiendelea kumdai pesa izo, wakamwambia kabla hajawapoteza watatoka hadharani waseme ukweli kuhusu namna Jeshi la Polisi yani RPC, Shabani na wao walivohusika kwenye tukio la Kutekwa Mdude.
Mwanafamilia huyo anasema kwamba juzi kati Coplo Shabani alimpigia simu mmoja wa watuhumiwa hao akamwambia awambie wenzie kwamba wakutane ili aweze kuwapatia kiasi cha pesa kilichobaki ambayo ni shilingi milioni 80 lakin pia kuna kazi nyingine anataka kuwapa wanapaswa kwenda kufanya na kuikamilisha kabla Oktoba 1 ndipo Mtuhumiwa huyo akawapigia wenzake kuwajulisha kwamba wanatakiwa kwenda kukutana na Shabani ili akawape pesa iliyobaki na kuwapa mchongo mwingine.
Lakin tangu walipoenda kuonana na Shabani zilipita siku tatu simu zao zikawa hazipatikani, familia ikadhani huenda wameenda kwenye hiyo kazi ambao Shabani alikuwa amewaitia hadi pale Familia ilipokuja kuona kwenye mitandao ya kijamii kwamba wameuwawa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na tukio la kutekwa Shyrose.
Sasa turudi miezi kadhaa baada ya tukio la Mdude kutekwa kuna majina sita ya wahusika ambayo yalikuwa yanatajwa sana kwa nyakati tofauti miongoni mwa hayo ni pamoja na hao watuhumiwa watatu ambao RPC wa Mbeya anasema Wamewauwa.
Lakin pia ukiangalia plate number ya hiyo Carina T802 BEY ambayo tulionyeshwa juzi na RPC wa Mbeya kuwa ilikuwa ikitumiwa na Watuhumiwa hao then tukirudi miezi kadhaa nyuma kuna picha ya gari aina ya Noah ambayo ilikuwa imepaki kituo cha Polisi Chunya kuna msamaria mwema kutoka Jeshi la Polisi alitupenyezea kwamba gari hiyo ndo ilitumika kumteka Mdude sasa ukilinganisha plate number ya hiyo Noan na hii Carina ya juzi ni hiyo hiyo moja.
Lakin jambo jingine baada ya Shabani kufanikisha tukio la kutekwa Mdude sasa hivi kapandishwa cheo kutoka kuwa Coplo na sasa ni Special Sergeant
Halafu kapandishwa cheo kinyume kabisa na utaratibu wa Jeshi la Polisi ambapo kawaida Mtumishi yoyote wa Jeshi hilo anapaswa kupandishwa cheo baada ya miaka mitatu Sasa yeye ndani ya miaka mitatu kapandishwa kuwa Coplo na hapo hapo kapandishwa kuwa Special Sergeant means kahongwa cheo ili aendelee kutuumiza.
Kwa mantiki hii RPC wa Mbeya na Shabani wamewauwa hao watuhumiwa watatu ili kufuta ushaidi wa tukio la kutekwa Mdude kwasababu hao watu walitishia kwamba watatoka hadharani kusema ukweli so wakawawahi.
Huyu Mwanafamilia aliyenipa hii taarifa anasema kwamba kwa maelezo ya ndugu yake ambae alihusika kumteka Mdude ni kwamba Mdude bado yupo hai na kwamba Shabani ndo anajua wapi walipomficha Mdude.
Mwisho nawaambia watu ambao huwa wanatumwa kuteka/kupoteza watu Ukiua kwa upanga, utakufa kwa upanga.
Nakufahamu tangu tulipokuwa wote Bungeni, na kwa sababu hiyo siwezi kushangazwa na misimamo yako inayopuuza misingi ya haki nchini. Lakini nakusihi, kumbuka hadhi na utu wa mtu havipimwi kwa vyeo, bali kwa uadilifu na ujasiri wa kusimama upande wa kweli. Nafasi ya kuitwa Jaji Mkuu si kitu cha thamani iwapo inakuwa sababu ya kuumiza haki. Ni heshima zaidi kulala barabarani ukiomba chakula kuliko kuwa mhusika wa maangamizi ya haki na utu wa taifa kwa sababu ya kulinda cheo.
Mahakama si kivuli cha gizani; ni taa ya kuongoza taifa. Mienendo yake maamuzi yake hayazuiliwi na mipaka, yanaweza kusimama kama kumbukumbu ya heshima au aibu duniani kote. Weka kumbukumbu sahihi, kwa sababu kila shimo mnalochimba kwa wengine, mwisho wake ninyi wenyewe mtaangukia ndani yake. Mnalisogeza Taifa karibu na uharibifu mkubwa sana. Maana matumaini hakuna tena popote. Siku inakuja ambako haki itatukuza jina lake.
HALI MBAYA: Mambo gani tena haya. Hawa siyo Chadema. Hawa ni watanzania na hawaitaki CCM wala Samia. Mama Samia, hebu ondoka madarakani au sitisha uchaguzi lasivyo utafurumshwa hautaamini
Kuna hii propaganda inaongelewa sana!!
Utasikia wanasema
🗣️
“WENGI WANAOSHAWISHI MAANDAMANO WAKO NJE YA NCHI HAWAKO HAPA”
Huu ni uwongo…uwongo…uwongo
Kuna watanzania Milioni 70.
Nitajie watanzania hata 10 tu au 5
walioko nje ya nchi wanaoshawishi maandamano!!
Sasa unasemaje wengi wako nje ya nchi?🤷🏿
Tena utaskia 🗣️ wengi wanaowashawishi wako ulaya!!
Hebu nitajie hao watanzani watatu tu walioko Ulaya na wanashawishi maandamano!!
Hii ni propaganda ya kuwadanganya tu watanzania kuwatia ubaridi!!
Watanzania walioko hapo hapo nchini wamechoshwa na mfumo na wanataka changes na wanatumia njia hiyo kudai haki zao!!
Msiwadanganye kwa kusingizia wengi wako ulaya…
Ukiingia kwenye mtandao ukaandika Rivonia Trial ya kina Mandela ya mwaka 1963.
Utaletewa picha za watu mahakamani, utapata hotuba halisi iliyorekodiwa mahakamani.
Mandela alitoa hotuba ya utetezi ilirekodiwa na vyombo vya habari.
Miaka 62 baadae tunaambiwa na Watanzania wenzetu kwamba watu wasiende mahakamani.
Tunaambiwa haki yetu ni kupewa taarifa tu na sio kwamba hata kurekodi na kurusha kesi live ni kupendelea mtu.
Kwani si mnataka haki intende na ionekane kutendeka, sasa itaonekana vipi kutendeka gizani?
Hii ni aibu ya karne.
Maana yake makaburu walikua wazuri kuliko hawa makaburu weusi.
Tutabadili hali hii.
"Kama Rais Samia anasema Chadema wasishiriki uchaguzi asije hapa Butiama kwenye Kabuli la Mwalimu Nyerere" Andrew Kambarage Nyerere,
Mtoto wa kwanza wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Askofu Wolfgang Pisa akikemea viongozi wastaafu kuwa washauri wa viongozi waliopo madarakani. Unadhani anamgusa nani kwenye nyakati hizi hapa Tanzania?
Nasoma comments zenu
BREAKING: Tanzania’s Catholic Church calls 2019, 2020 & 2024 elections fraudulent. On Oct 29, 2025 — Election Day — churches will hold festivals & talks instead of voting. Message is clear: they reject this year’s election. @SuluhuSamia@ccm_tanzania open your eyes.
REMMY ANAHITAJI MSAADA WETU
Wapendwa,
Mwanachama wetu REMMY MGAYA SWALLO anahitaji msaada wa kila mmoja wetu ili aweze kurudi kwenye hali yake.
Remmy mwenye umri wa Miaka 41, Mume na Baba Wa Watoto 3, Mwanachama Mwaminifu wa CHADEMA.
Alikuwa Mwenyekiti Wa Serikali ya Mtaa wa HASANGA Kata ya Uyole 2014/19 Kupitia CHADEMA enzi za Utimamu wa mwili na akili yake.
Mwaka 2018, kulikuwa na Uchaguzi mdogo wa udiwani, Kata ya NSALAGA Jimbo la Mbeya Mjini, (Kwa Sasa Jimbo la Uyole), REMMY SWALLO alikuwa Miongoni mwa Mawakala wa CHADEMA.
Wakiwa kwenye kambi ya Mawakala, karibu na kituo cha kupiga kura, usiku wa kuamkia siku ya upigaji kura, yeye na wenzake walivamiwa na kukatwakatwa mapanga.
Hali ambayo ilipelekea yeye kupoteza utimamu wa mwili na
akili.
Tangu hapo amekuwa hawezi kutembea, Hawezi kuongea, Hawezi kusikia, hawezi kufanya chochote kama awali amekuwa mtu wa kusaidiwa tu.
Ameendelea na matibabu tangu 2018 mpaka leo.
Kila wiki amekuwa akienda clinic kwa ajili ya matibabu na kila mwezi kuna dawa ambazo anatakiwa kununua lakin kulingana na hali ya uchumi kuna kipindi wanakosa Dawa/Huduma kwasababu ya kukosa pesa.
Siku ya MASHUJAA Day Sept 7 2025, Viongozi wa Chama Mkoa wa Mbeya walimtemblea SHUJAA REMMY ambapo walikutana na familia yake.
Mke Wake Bi. Fransisca Abrahman aliomba Viongozi wamsaidie angalau kupata Bima Ya Afya, kumrahisishia kupata Huduma na Dawa Kila Mwezi.
Hivyo tunakuomba kila uliguswa na jambo hili changia kiasi chochote ili Remmy aweze kupata Bima ya Afya Angalau (NHIF), Kifurushi Cha TIMIZA AFYA ambacho Kinagharimu 612,000/= Tsh Aweze kupata Huduma Kila itakapohitajika.
Mpesa No. 0795885985
Jina : REMMY MGAYA SWALLO
Mungu akubariki sana.🙏🏻
Naomba Repost yako huenda kwenye Timeline yako kuna mtu anaweza kuchangia chochote.
Elon inatakiwa ajue hii Account tuna shida nayo kuelekea Oktoba 29, Post, Retweeet, Tag waone.
Tag @elonmusk@Support to reinstate @sativa255 (143K followers). He is a human rights defender & victim of political persecution. Silencing him = silencing truth.
#UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech