Portal, Mlango ssioonekana unaokuwezesha kusafiri bila kutembea.
Zamani sana, kabla ya sayansi kupewa nafasi kubwa, walikuwepo watu waliotembea baina ya ulimwengu tofauti.
Si kwa ndege wala magari, bali kupitia milango ya siri isiyoonekana na macho ya kawaida. Milango hii ilijulikana kama portal.
Portal ni mlango wa kiroho na wakati mwingine wa kisayansi, unaokuwezesha kusafiri kutoka dunia moja kwenda nyingine, au kutoka dimensi moja ya maisha kwenda nyingine.
Unapoingia, unaweza kujikuta kwenye sehemu isiyofanana kabisa na dunia yetu.
Inawezekana ukakutana na viumbe wasio wa kawaida, mazingira ya ajabu, au hata historia tofauti na ile tunayojua.
Lakini sehemu hizi hazipo kila mahali tena. Ziliwahi kuwepo kwa wingi, lakini nyingi ziliharibiwa kwa makusudi baada ya watu kugundua hatari zake.
Katika simulizi nyingi, kioo kinaaminika kuwa aina ya portal ya asili.
Kioo sio tu kinaonesha sura yako, bali kwa waliokuwa na macho ya ndani, waliamini kinaweza kuonesha ulimwengu mwingine ulio nyuma ya uso wa kioo.
DEVELOPING SCANDAL: Macron, Starmer, and Merz caught on video on their return from Kiev. A bag of white powder on the table. Macron quickly pockets it, Merz hides the spoon. No explanation given. Zelensky, known cocaine enthusiast, had just hosted them. All three of the “leaders” look completely cracked out.
Nafikiri Kitu Ambacho Nimechelewa,
Kukielewa Katika Maisha.
Ni Kuwa Namna Gani,
Ulimwengu Una Operate.
Kusoma Na Kuzielewa,
Sheria Za Ulimwengu.
Kwanini?
🧵👇🏾
“WALISEMA DAMU ILIVUJIA KICHWANI...💔”
Alikuwa mzima kabisa. Anacheka. Anaongea. Anaendesha gari au yupo kazini.
Ghafla tu akasema:
“Naumwa kichwa sana… si kawaida!”
Dakika 10 baadaye, akatapika, akapoteza fahamu.
Wakamkimbiza hospitali.
Daktari akatoka akiwa na uso wa huzuni:
“Amevujia damu kichwani...”
Twende Sawa, 🧵 👇🏾 Soma Hadi Mwisho!
🛑 Mali 🇲🇱- Following a national political conference in Bamako, all political parties have been dissolved, and @GoitaAssimi has been given 5 years more to lead the country.
This is very good. The majority of Malians don’t wanna hear anything about elections. That’s why when the former and my beloved PM talked about rectification of the transition, they asked Goïta to fire him, and he did.
This proves that the masses are being their leader, not politicians. There are about 400 political parties in Mali, per what Choguel said. Can you imagine? That’s why the people asked the government to dissolve them.
Now, all the political entrepreneurs waiting on the government’s money and France 🇫🇷 sponsorship should go and find some work to do! Long live Goïta! Long live Mali 🇲🇱!
"There will come a time where if you attack one black man, you will be attacking all black men. This situation will result in black people coming together to fight for that black man." - Malcom X.