@ajiratimes Mimi ilitokea mara ya kwanza nilifanya interview na nikawa shortlisted.Mara ya pili nilivyoomba nikaambiwq sipo shortlisted kwasababu sijaweka internship certificate na mda uo majina ya wanaoenda kufanya written yashatoka, niliwasiliana nao mambo yakakaa powa nikafanya written
@McinikaWaLamar Naona mostly huwa watu wame rely kwenye ulaji mbaya wa chakula au mazoez but watu wanasahau this chronic diseases pia zinachangiwa na genetics au family history ya ugonjwa.
@mayagilamusadan @thegaff41885496 @PabloYende@INFLUENCERjr Upo mistaken sana , nimezaliwa kwenye dini ya sabato sijawai elezwa kwamba yesu atarudi siku ya sabato. What I know na kinachofundishwa ni kuwa hatujui saa wala siku atakayokuja.