If the mass can’t understand you then you will never be able to lead & bring development anywhere. Ili tuendelee kitaifa, kibiashara, kiofisi au hata kinyumbani unahitaji watu mtakao sikilizana na kuelewana bila kuongopa being challenged.
Kwa masikitiko makubwa tarehe 17th March 2021, saa 12 jioni tumempoteza Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli ambaye amefariki kwa maradhi ya moyo katika hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
JE, Ulifahamu haya?
1. Hogo analovishwa mtu alievunjika hospitali hutokana na unga wa muhogo?
2. Maji maji ya muhogo hutumika kutengeneza Ethanol ambayo Hutengezeza vitakasa mikono #sanitizer
3. Wanga hutumika kwenye viwanda vya vinywaji, madawa, gundi na vitu mbalimbali.
'Officials at the Kenyan Embassy in Beijing issued a notice on Friday asking anyone ready to buy a ticket out of China to send their information via an online platform to be helped out of the country.'
https://t.co/89HvseymE9
Hundreds of thousands of people in underdeveloped countries face deprivation as economic activity has been shut down due to the COVID-19 coronavirus. Among those most vulnerable to the virus are the street children of Senegal
check this out
Kenya 🇰🇪 nimewavulia kofia! Juzi tu wamefanya tafiti kipimo cha kupima TB jinsi kinaweza pima #COVIDー19, leo naona habari nyingine njema kuwa wanafunzi wa Kenyatta Uni wamezindua ‘ventilators’ walizotengeneza wao wenyewe🙌. Kudos wajameni!