Tukielekea kwenye msimu wa kilimo je, uliwaza muhogo unaweza kukuongezea kipato na faida zake nyingi?
:
:
Karibu leo tujifunze wote.
1. Uandaaji shamba
2. Uchaguzi wa mbegu
3. Vipando
4. Udongo
5. Magonjwa
6.… https://t.co/tqmOdOLEZR
Do ndoo za #lindatanzania
:
:
Ni mambo gani umekua ukiyazingatia kabla ya kuingia au kujishughulisha kwenye kilimo? Hii ni kwa wageni kwenye kilimo au wale wanaotaka kujikwamua kwenye… https://t.co/uMLCVMvha5
Tujifunze kidogo:
Je, unafahamu umuhimu wa kutandika plastic kwenye udongo chini ya tunda wakati wa kilimo?
Tuangalie faida kadhaa za mulching paper aina mbili nyeusi na nyeupe
1. Husaidia kupunguza upotevu wa maji… https://t.co/v3B4KL4Qbl
Wapendwa wateja wetu wa mbolea za #yara tunapenda kuwataarifu kwamba mbolea ya Winner iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu sasa itapatikana kwenye maduka yetu kuanzia wiki hii. Kutokana na wingi wa wateja na uchache… https://t.co/5vvUmk3Z1U
Kwa ushauri bora wa kilimo, ushauri na elimu bure, pembejeo mbali mbali za kilimo ikiwemo Mbolea, Viwatilifu na Mbegu, vyakula vya mifugo. Wasiliana na @kilimojoint kwenye namba… https://t.co/c4UnpY4aFv
Part 4
:
6. Kilimo mchanganyiko
Ni vizuri sana na inashauriwa kupanda maharage pamoja na mimea ya jamii nyingine kama vile mahindi kwani husaidia katika kusambaza madini ya nitrogen na… https://t.co/0lV6gbVpIk
Part 3
:
3. Magugu
Inashauriwa kupalilia mimea kabla haijatoa maua. Shughuli hii inatakiwa ifanywe kwa uangalifu ili kukinga mimea isiharibike kwenye mizizi kwani uharibifu wa aina yoyote… https://t.co/t5jvSKG3q4
Part 2
:
b) Majani
Majani ya maharage pia huweza kutumika kama mboga na katika baadhi ya jamii za watu nchini, majani mateke ya maharage huchumwa na kukatwakatwa kisha kupikwa kama mchicha… https://t.co/H4mvIXRclf
Part 1
:
MAELEZO YA MSINGI KUHUSU MAHARAGE -
Beans(Phaseolus vulgaris L.)
:
Maharage ni lishe ya pili kwa umuhimu nchini Tanzania baada ya mahindi. Maharage yanaweza kuliwa yakiwa… https://t.co/rX1ubzUO8Z
Wengi wamezoea kuona mashamba masafi ila wakiona pori wanachanja mbuga. Kama unapenda maendeleo basi kwa pamoja tushirikiane kuelimishana tangu kuondoa pori hadi kufikisha mazao sokoni.… https://t.co/xgjqHkVDWX
Watu wengi wanatamani sana kufanya kazi ya kilimo,au wamechoka kuajiriwa au wanataka kuongeza mkondo mwingine wa kipato,Hata hivyo watu wengi hawajui pa kuanzia mfano,alime zao Gani,soko… https://t.co/KjGWVAWXNj
Kilimo cha kakara na mgeni wetu na rafiki yetu Mpendwa mwaipayaabdallah . Asante kijana wenzetu na mdau wa #kilimojoint kwa kututembelea 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 https://t.co/EmRw5nek5r
Naitwa Nancy Maksud, ni mjane na mstaafu. Nimeanza kilimo na ufugaji tangu mwaka 2006 kabla ya kufariki kwa mume wangu lakini mwaka 2010 niliweka mkazo zaidi. Nimejikita zaidi kwenye… https://t.co/gxk070QwfZ
Part 2
KWA SASA KIPI UNAHITAJI ZAIDI!?
:
Kama nilivyoelezea awali ningefurahi kupitia KJ nipate wanunuzi wa njegere nilizonazo ambazo nisingetamani ziharibike
.
.
JE, USHAURI WAKO NI UPI… https://t.co/aONaXxD8DJ
Part 1
.
.
Zarina Shaweji Haridi,ni mkulima wa mazao mbalimbali ya mbogamboga(Bamia,
Njegere na maharage)na mahindi ya njano na meupe na mihogo.
Kilimo alianza mwaka 2013 kwa kulima… https://t.co/sCcUXss8qD