Shirikisho la soka Barani Afrika limetangaza rasmi kufuta Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa ndani (CHAN).
Uamuzi huo ulithibitishwa na Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe wakati wa mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika Morocco Jumamosi, Januari 17.
Dkt. Motsepe alieleza moja kwa moja sababu ya hatua hiyo, akielezea shindano hilo kuwa haliwezi kutegemewa kifedha.
Rais wa CAF pia alifichua kuwa kalenda ya soka ya bara hilo itafanyiwa mabadiliko makubwa, huku mashindano mapya yakipangwa kuchukua nafasi ya CHAN.
Dkt. Motsepe pia aligusia uhusiano mpana wa CAF na mashirika ya soka duniani, akisisitiza haja ya uhuru na ushirikiano badala ya migawanyiko.
#KitengeSports
๐จJUSTIN: Golikipa wa Klabu ya Simba,Moussa Camara ameuambia Uongozi wa Klabu ya Simba kwamba kama wanataka kumtoa kwenye mfumo wa usajili wa TFF ili wasajili Golikipa mwingine wa kigeni basi wanapaswa kumvunjia mkataba wake wa miezi sita uliobaki ili yeye akatafute timu nyingine
๐๏ธ | Conte ampiga kijembe Amorim:
โBaadhi ya makocha vijana siku hizi wana kiburi na hawataki kubadilika. Wanamwona mshambuliaji kijana (Hojlund) akihangaika, badala ya kumfundisha na kumjenga, wanamlaumu.โ
โKila mara wanalalamika na kuwalaumu wengine, sababu kila kitu wamekikuta kikiwa tayari.โ
Girls caught in crises are calling for safety, dignity and human rights.
With our support, they can build a brighter future for themselves and their communities.
Follow @UNFPA today to show your support.