@Brendaulomy @Bm3gh@SimbaSCTanzania We n mdada ninaye kuheshimu tangu nime kufollow naamn hii comment n Hali ya kibinadamu bdo tu nakukubali brenda uyo morson kakusea nn
@privaldinho Uto Kama uto cc tulikosa ubingwa Mara 5 mfululizo tukavumilia na akna Jerry muro we ulikuwa wap Kaka au umezaliwa Jana Mara 3 tu mnaanza kulia lia
@SimbaSCTanzania Hiii rtba ya kipuuz kwo baada ya mech ya staz jpl tunaenda likizo afu tufike mwakan rtba ibane waanze kupishana cku moja Kama msimu uliopolita baada ya kutoka corona