Kenyatta didn’t want the presidency he was given it.
Moi was handed the presidency on a platter.
Kibaki was politely convinced by an entire village of elders and economists to vie.
Uhuru was pulled straight from his drinking table and polished into a president.
Kasongo, on the other hand, has chased the presidency with fire, force, and fasting.
Truth is, people who can do anything to get power should never be allowed anywhere near it.
Kaka John Heche, shikilia hapo hapo! Maadui dhidi yako ni wengi mno na hawapendi unachokifanya. Ila, sisi wananchi tulio wengi, tunaelewa "vision" yako & tuko nyuma yako. Mungu akusimamie katila kila jambo. Endelea kaka, usikate tamaa.
Wananchi, huyu mtu ALINDWE kwa wivu mkubwa.
John Nguti ni Mwanaharakati wa Haki za Binaadamu na Utawala Bora wa Sheria, Ni Kiongozi na Mwanachama wa Chama kikuu cha Siasa Nchini Tanzania (CHADEMA).
Milio imekuwa mingi sana kupitia msimamo wa huyu kiongozi watu wananmchukia huyu wanasau kuwa sisi ndio tunamfanya avimbe kichwa kwani tunamuamini sana wasivo naakili wanaweza panga njama za kumdhuru ikiwezkn kumpoteza kabisa lkn watakuwa wamesahau kuwa Heche ndio mamilion yetu.
Siku ya 3 ya maombi yetu @AishaSMadoga akatangaza kuhama chama. Mmoja ya wana maombi mwenzetu aka tweet nimeumia sana. Tukamshangaa sana mwenzetu, unaumia nini wakati umemuomba Mungu aondoe watu wasio sahihi?. But if Aisha anajutia asijihukumu afanye maamuzi tutampokea.
Mtu mmoja hapa ananiuliza eti wale wanawake wavumilivu wa kuwa siku umetafuta umekosa wa kukubali kulala njaa bado wapo? Nami namuuliza na siye wababa wa kuvumilia tunarudi Nyumbani hakujapikwa mama kachoka tupo? Majibu yaje pande zote tafadhali.
Kuna mwanangu akiweka hela nyingi kwa wakala wa bank kile kipengele cha namba ya simu kwaajili ya notification, anawekaga za watu asio wapenda hasa EXs, wawe wanashtuka meseji ya hela nyingi iende kwao wajue kuna mtu kakosea muhamala😂😂
“Mimi mwanaharakati najivunia ✊🏽”
Hizi tshirt inabidi tuzimwage mtaani!
#ChangeTanzania tulipanda mbegu miaka 8-10 iljyopita na tulifanikiwa na mikutano yetu mingi ya kufungua akili vijana hadi tukafungiwa na mafedhuli kama taasisi ila tumeendelea kummea kama mbegu kama harakati yaani movrment 😁Sasa tumekuwa mti mkubwa wenye matawi na hata hatuwajui wanaibuka wanaharakati vijana kila siku - GREAT JOB! 🔥
Mkija kusoma biography yangu mtaelewa kwa nini nasema TUMESHINDA!
Hatuweza kutishiwa na ugaidi au uhaini na wauaji! Uanaharakati ni jambo la kujivunia SANA!
Taifa linapata maendeleao na mabadiliko ya kweli kutokana na msukumo wa wanaharakati
#TutaelewanaTu #ChangeTanzania
#TANZANIA: MWABUKUSI AWATWANGA WANAOENEZA PROPAGANDA DHIDI YA HECHE
Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Wakili msomi Boniface Mwabukusi hii leo Julai 09, 2026 ameingilia kati mtafaruku mkubwa wa kisiasa unaoendelea ndani ya Chama cha CHADEMA, akiwaonya wanaharakati na wapenda demokrasia nchini kuacha mara moja propaganda za 'kumchafua', Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara, John Heche na viongozi wengine wakuu.
Katika mfululizo wa maandiko yake kwenye mitandao ya kijamii ndani ya saa 24 zilizopita, Mwabukusi amebainisha kuwa CHADEMA ni uwekezaji wa miaka 30 wa jasho la Watanzania na kwamba kampeni za sasa za kuwagawa viongozi wake kwa kauli za jumlajumla na mihemko zitalirudisha nyuma taifa ki-demokrasia kwa miongo minne ijayo.
“Kudharau na kuchochea mgawanyiko ndani ya CHADEMA kukifanikiwa kwa kuwagawa viongozi wao kwa kukosa staha na kuyumbisha muelekeo wake kisiasa, tutahitaji miaka mingine 45 kupata taasisi imara kama CHADEMA, CHADEMA hapo ilipo ni uwekezaji wa takribani miaka 30”, ameeleza Mwabukusi
Kauli ya Mwabukusi inakuja kutokana na wiki moja ya sintofahamu iliyoibuka baada ya vikao vya Kamati Kuu ya CHADEMA vilivyoketi mkoani Kigoma Juni 30, 2026, ambapo kulienea tuhuma nzito za ufisadi wa mamilioni ya michango ya chama dhidi ya John Heche, tuhuma ambazo upande wa pili unadai ni mkakati wa kisiasa uliolipiwa ili kumshinikiza Heche aingie kwenye maridhiano na serikali na kusaliti msimamo wa Mwenyekiti Tundu Lissu ambaye bado yuko kizuizini.
Mwabukusi amewataka Wanachadema mitaani na mitandaoni kuheshimu taratibu za kiofisi za chama hicho kikubwa cha upinzani na kuacha kukiyumbisha kwa mashinikizo ya nje yasiyo na msingi.
Aidha, Mwabukusi amekemea vikali tabia ya wanaharakati wa mtandaoni kushambulia viongozi waandamizi kama Godbless Lema na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa hisia au kusikiliza upande mmoja wa hadithi.
“Ni jambo baya kabisa kubeza nafasi na mchango wa Godbless Jonathan Lema au Joseph Mbilinyi (Sugu) kuwashutumu kwa kauli za jumlajumla hadharani, hii ni kushambulia demokrasia ya upinzani na maendeleo ya demokrasia ya mageuzi. Kama kuna kisa unashindwaje kuwasiliana nao kujua ukweli?” - Mwabukusi
Mnyukano huu wa maneno unakuja katikati ya propaganda ambapo kada wa zamani wa CHADEMA, Lembrus Mchome na makundi ya watu mtandaoni walimshutumu John Heche kuficha michango ya chama na kushirikiana na wafanyabiashara wakubwa wa sekta binafsi kuvuruga mfumo wa uingizaji mafuta nchini. Hata hivyo, taarifa kutoka ndani ya chama hicho zinasema madai yote hayo ni propaganda na hazina ukweli.
Baba Raila Odinga, may you rest well. To the family, your spouse Mama Ida Odinga and your children, my family and I join you in prayer during this difficult moment. My deepest sympathies to you and to the people of the Republic of Kenya.
The enigma Baba, the father of our democracy and a formidable hero of Kenya’s 2nd liberation, you stood tall and strong in intellect, knowledge and quest for democracy. You faced brutal regimes’ brutality, you were tortured, jailed, abducted and detained severally for Kenya. When the history of Africa’s Pan-Africanism is written, your chapter as the indefatigable lion of Africa will attract many readers.
You dedicated your life in the service of humanity: as a political activist, a Civil Servant, a University Lecturer, an MP, a Party Leader, a Cabinet Minister, a Prime Minister and many other fronts. On all these, your trail of success and impact remains indelible.
Kenyans will not only remember your craft in resilience, persistence and democratic values days on but also your voice during difficult moments.
It will be remembered that you were at the forefront in the fight for Kenya’s democracy and liberation of Kenya on many firsts. Most profoundly, Kenya’s multiparty democracy and the Constitution of Kenya 2010, a race you strongly stood in for and we the people of Kenya shall never forget.
Much as we have never been on the same political side, I have had a strong admiration of Raila Odinga's art of forming and sustaining a strong political party that survived 4 general elections. I remain amazed by his choice of quality legislators to fly the party flag and eloquently articulate party policies and the people they represented.
You are a hero celebrated home and away; you have not gone Raila Odinga, you have just faded away.
Rest in peace Baba and may perpetual light shine upon you forever.