Jukwaa la Wadau ndani ya Dakio la Mto Kagera lilifanikisha kupata majina manne ya wajumbe watakao unda kamati ya Maji ya Dakio la Kagera.Jukwaa lilifanyika tarehe 8 Julai,2020 Bukoba.
Kamati itasimamia utekelezaji wa mpango shirikishi wa usimamizi wa rasilimali za maji.
“Swala la maji ardhini, Mabonde ndio Wataalamu. TUWATUMIE. Pongezi LVBWB Kwa kazi nzuri ya Survey na Usimamizi wa Uchimbaji wa visima.” Prof. Kitila Mkumbo @kitilam@maji_mowi@LakeVictoria_tz@2030WRG