Unajinyima unanunua Bando la @VodacomTanzania ili shughuli zako zisikwame. Bila haya, unasubirishwa zaidi ya siku 5 ( Working Days) Kila ukifuatilia unapewa masaa, 48, 24....na Sasa wanasema hivi punde. Vodacom wamekosa uwajibikaji kwa fedha zetu! Mhe. @JerrySilaa
We are excited to welcome our new Deputy Executive Director๐ฅณ
@MasaluPaschal brings rich experience and expertise in strategic planning, collaboration & creating partnerships between startups, corporations, governments, and nonprofits to foster sustainable and impactful change.
@KennedyMmari Hujui kuwa tunahitaji wahamasishaji na wachambuzi wengi na mahiri kuliko wachezaji? Kwetu michezo ni muhimu nje ya viwanja kuliko viwanjani.
Shaping tomorrow's leaders in Schools.
Emphasizing educating boys on equality, engaging youth for peace, and highlighting how education protects against HIV/AIDS to build supportive communities for children and young people to thrive.
#WeAreReady#LameckKiula
Uongozi Sio Mamlaka!
Ogopa Sana Nidhamu Unayopewa Sababu Ya Mamlaka.
Ikiwa Katika Timu Yako Wapo Watu Wanapewa Nidhamu Sawa, Au Zaidi Yako Usijenge Uadui Nao, Jifunze Kutoka Kwao Maana Uongozi Ni Taaluma na Talanta. #LeadershipDevelopment
This is a READY, Thank you to @frontlineaids @repssi_tanzania @zvandiri_ @NLinMozambique@TumieKomanyane and Kwa Wazee Organization for your support for the year 2023.
2024 is promising already, The Ready Project is making a remarkable impact.
#WeAreReady
Young voices matter๐ฃ๏ธ
๐น๐ฟYouth Advocates @MadinaJubilate & @MsokaEmmanuel joined other advocates to meet @UNICEF Deputy Executive Director Kitty van der Heijden. The participants shared their experiences on the outstanding work they are doing to advance UNICEFโs advocacy!
#UNGA