Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bi. Anna Mghwira (Mkuu wa Mkoa Mstaafu). Katika utumishi wake alikuwa mchapakazi, jasiri na aliyepigania maendeleo hasa ya Wanawake. Nawapa pole wafiwa wote, ndugu, jamaa na marafiki. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.
#UNAAMBIWA: Utafiti wa Chuo Kikuu cha Virginia unaeleza kuwa ni rahisi kwa Mwanamke kuvutiwa na Mwanaume ambaye anaficha hisia za kumpenda kuliko kuvutiwa na Mwanaume ambaye huwa na haraka ya kumtongoza siku za mwanzo za kufahamiana kwaoโโโโโMwanamke hapendi Mwanaume mwenye pupaโ