@Phbhimself Je Kwa ukubwa wa vipimo vya Mito alivo eleza Mwandishi na Dhahabu na Vito vinavo patikana Katika bustani Haviendani na Mazingira ya Bara la Africa
@Phbhimself Pengine Katika taswira zetu tunaposikia Busta Ya Edeni tunafananisha na Taswira ya eneo dogo lenye Miti mito maua na uoto mbalimbali wenye kupendeza lakini tafakuri inakuja pale maandishi ya biblia yanapo elezea ukubwa wa Mito iliyozunguka na kuilisha bustani
@Phbhimself Mto gihoni unatajwa kuizunguka Nchi yote ya Kushi Katika ramani ya kibiblia Kushi ni eneo lote la Ethiopia Sudan Hadi baadhi ya eneo la Africa Mashariki je Mto huo gihoni Sio Mto Nile wa Sasa ambao chanzo chake kikuu ni ziwa Victoria
@inframe_tz Spiritual awakening begins with one question WHO AM I Katika swali hili utapata majibu mengi ya uwongo na ya kweli through meditation utapata kutambua ukweli Katika hatua hizi. Reason capacity huwa inakuwa kubwa pengine unaweza jihisi unachanganyikiwa fear not until u