Leo ni siku ya 20 toka waanze safari kule mkoani Mtwara.
Wamebakisha KM 90 tu kufika mwisho wa safari.
Makadirio ya safari ilikuwa ni siku 30.
pongezi kwa wale wote walioshiriki kwenye safari hii Kwa kufika salama👏
Najua uko smart,
Najua una akili sana,
Najua unasali sana,
Najua una marafiki,
Lakini leo ukisali muombe Mungu akukutanishe na mtu mmoja sahihi wa kuendana na mawazo na ndoto ulizonazo.
Monaco ni nchi ya pili kwa udogo duniani. Ina wakazi takribani 38,000 tu na ukubwa wake ni mara 2 ya eneo la Kariakoo. Hapo wanaishi matajiri wakubwa tena inatawaliwa na familia moja kwa zaidi ya miaka 700 sasa. Haina jeshi bali inalindwa na Ufaransa. Maisha ya hapa ni ya starehe
Dogo alileta business plan nimpe 78k anunue gunia la machungwa linakua na machungwa 600 mpaka 620 atauza road machungwa 2 sh 500 akiuza yote ni 150k
Nikampa ndani ya siku nne kweli alimaliza Jana na akakabidhi 150k 🙌🏾
🚨 𝗠𝗔𝗦𝗧𝗘𝗥𝗠𝗜𝗡𝗗
🔥 MARKETING YA MPIRA AU GAME YA AKILI?
Huyu ndo mastermind wa biashara ya mpira — JAYRUTY, mzabuni wa jezi za Simba SC.
Nawaza tu kwa sauti…
Zile picha na video za basi 🚌 la Simba SC zilikuwa “zimevuja kimakosa” kweli?
Au watu bado hawajaelewa mchezo unaochezwa hapa?
Kwenye dunia ya sasa ya biashara ya mpira, hakuna kitu kinaitwa “bahati mbaya” kirahisi hivyo.
Unatoa picha zinazozua maswali
Watu wanaanza kubishana mitandaoni
Pages zote zinapost
Mashabiki wanagawanyika
Na jina linakuwa habari ya mjini
Na kilichotokea ni hicho hicho…
Sasa hivi sio Serengeti Boys, sio ligi — ni Simba SC bus ndizo ziko kwenye headlines kila kona.
Wengine wanasema ni makosa ya uzalishaji, wengine wanasema ni “normal delay ya logistics”, lakini swali linabaki palepale:
👉 Inawezekana mtu mzima kama huyu hakujua gari litaonekana hivyo? Au hii ni “attention strategy” iliyofanya kazi kuliko matangazo yote?
Kama ni makusudi… basi huyu amewazidi wengi sana kwenye PR ya michezo.
Kama sio makusudi… basi bado ameibeba brand bila hata kupanga.
Lakini mwisho wa siku ukweli mmoja haukwepeki:
🔥 Watu wote wanazungumza Simba SC.
Sasa ni zamu yenu👇
Hii ni SMART MARKETING au ni COINCIDENCE ya kawaida tu?
🚨Klabu ya Simba haidaiwi na mchezaji yoyote yule mshahara ama signing fee ya aina yoyote ile.
Simba hulipa mishahara kwa wachezaji wake mapema kabisa kuliko klabu yoyote ile hapa Tz ukitoa Azam ambao wanalipa mara mbili kwa mwezi.
Simba hulipa wachezaji wake na bench lote la ufundi tarehe 20 ya kila mwezi. Wafanya kazi wengine wanachukua tarehe 23 kila mwezi.
Simba inalipa mishahara wachezaji woote wanaovaa logo ya Simba kuanzia Simba under 20 (Wanalipwa chini ya 1M), Queens na Senior team. Ukiachana na Simba academy hao wengine woote wanapokea mshahara tarehe 20.
Mtu anapokuja na taarifa ya kutunga tena kwa masirahi yake binafsi muwe mnamwangalia tu na ninyi pia kujiuliza je? Kweli simba wachezaji hawajalipwa miezi mitatu na morali ile waliokua nayo mechi za mwezi wa tano zoote wameshinda na sare moja tena ya chupuchupu dhidi ya mtani?
Jiulize je? Wasingekua wanalipwa Jonathan Sowah angekua anahesabika kama mchezaji wa Simba mpaka muda huu? Maana sheria inasema kama mchezaji hujamlipa ujira wake ndani ya miezi mitatu naruhusiwa kuvunja mkataba tena bila kujali masharti ya mkataba wake kwa timu yake.
Simba inawalipa mshahara wachezaji ambao haiwatumii tena kwa bei ile ile na muda ule ule bila makato.
1. Ilikaa na Aishi Manura msimu mzima bila kucheza na ilimlipa mshahara wake kama kawaida na hukusikia madai ya aina yoyote ile.
2. Imekaa na Jonathan Sowah karibia robo Tatu ya msimu hajacheza je? Umesikia akitaka kuvunja mkataba kisa halipwi?
3. Pin Pin Camara yupo pale Simba na Dar es salaam anategemea mshahara wa Simba kuishi pale je? Angekua halipwi angekuepo Tanzania? Angekua anasubili kupewa mkataba mpya na viongozi wa Simba?
4. Hapo bado sijagusia wachezaji wazawa ambao wapo majeruhi na wanalipwa kama kawaida.
5. Bado sijamwingiza kocha ambae analipwa mshahara mkubwa na ilishaachana nae miaka miwili huko nyuma.
Kiufupi tu ni kwamba Simba inatengenezewa Skendo itoke kwenye mfumo ipoteze mchezo ama idraw ili yanga waongeze gap la uongozi.
Hii minong'ono huwezi ukaisikia Simba akiwa yupo nyuma kwa point 5 ama 7 kiufupi tu ni kua mashabiki wa Simba mnatia aibu na mnakera sana pressure itawaua ninyi✍️
Tufatilie kwenye page yetu mpya ya @RevocatusPny
Maisha wakati mwingine huwalazimisha watu wema kujichimbia, ili wapotee na wajijenge upya
Mtu akikupiga kimya, si kwa chuki, hujui anapigana vita gani ndani yake
Usihukumu ukimya wa mtu, watu wanajitafuta taratibu. Wape space, kiwezekana wape kamba ya kujishikilia wasizame zaid
Hii miezi Sita iliyobaki na change life style nimeanza na kuchoma nguo bora nirudie nguo brand ili sio kuyajaza ndani akiba isishuke 50k kuamka mapema sana nusu saa kusoma kitabu nusu saa kuogelea baada ya hapo naingia job mpaka usiku..
“One day I may die without saying goodbye to anyone, but I will never forget the people who truly cared about me and stood by my side when I had nothing”
_OFFICIALTOMMPANTHER
Ee Mungu nisaidie nisione wale ambao hawajatimiza Malengo yao kuwa ni wazembe na wavivu.Nisijione mimi nina Akili nyingi kuliko wao
nisidhani najua Kupambana kuliko wao na Wala nisiwaze kwamba nafahamu njia za Mafanikio na wao ni wazembe tu.Kwa neno moja naomba niondolee KIBURI👇
Ndugu zangu Mimi Nalala Ila nawakumbusha kuwa
Wale wanaoSahau walipo Toka,Huwa hawana Pakwenda
Kumbuka mwanzo wako hata unapofanikiwa,Waheshimu waliokuwa nawe wakati wa shida
Usiruhusu Mafanikio yakufanye Usahau Historia yako,Mizizi yako ndio inayokupa Nguvu ya kuelekea Mbele
SHORTCUT ya Kupata pesa nyingi kwenye biashara ni kutokuwa na EGO na Ubinafsi, Punguza Kujiona wewe ndio noma sana fanya kazi na watu, sio kila biashara iwe yako pekeyako zingine chukua COMMISSIONS tu,sometimes kuwa AFFILIATE tu.. End of the day utajikuta una vyanzo vingi vya...
🚨UPDATES, SIMBA-BUS IRIZAR
Jayrutty kwa kushirikiana na Uongozi wa Simba SC, licha ya kupanga kuwa na hafla ya kukabidhi basi jipya lakini watafanya pia Parade ya kuzunguka Jiji la Dar es Salaam
Lengo ni kuhakikisha kila Mwana Lunyasi analishuhudia basi hilo kwa macho
Ndugu zangu Mie Nalala Ila Jueni kua
Kosa si mwisho wa Maisha,Bali ni Somo la kujifunza na kubadilika
Mwenye Hekima hujisahihisha kwa Makosa yake mwenyewe au yale ya kusababishiwa.Maana kukosea Haimaanishi ndio yamekua Maisha yako,Unaweza kufanya Mabadiliko ukaachana na Makosa
Dunia ina mambo mengi ya kufanya,kuzungumzia , kuyafuatilia au kujifunza, chagua kufanya, kuzungumzia, kufuatilia na kujifunza mambo yatakayo kuingizia hela📌🙌