@ChrissFundi Mtu anapigwa kanisani siyo kwenye baa leo tudanganywe Tanzania kuna amani!big up wakenya ukweli nyie ni wanaume mnaeipenda nchi yenu ndiyo maana hamuwaogopi watawala na polis wao.
@IAMartin_ Mwenye mapenzi ya kweli na mzalendo wa kweli hawezi yumbishwa na tamaa ya vyeo.walijaa chadema si kwa manufaa ya wananchi bali matumbo yao tu.Chadema ingeshiriki #uchafuzi wasingehama tungebaki nao tukiwakunjia ngumi.#NoReformsNoElection