@Sincerelyrahma7 ๐๐๐๐ uzuri sisi tunaungana na wewe na huyo rafiki yako kwenye kujiuliza kuwa alifira au alifirwa kwaiyo akitoa kichwa tu maswali ni hayo๐
@IAmJogoo@jamvileotips Kweli kabisa
Alafu mtu kusapoti nchi fulani sababu ya Dini sio kosa kama wengine wanavyosapoti nchi sababu ya Messi au Ronaldo kila mtu na mapenzi yake
@mlinganya@EsirEid Mi nakutetea kwa Neno "Kama" maana umetanguliza kujiweka upande wa kupokea marekebisho kwa taarifa ulizonazo
Taarifa sahihi ni kuwa hawachukiwi sababu ya Uislamu, ni kwa kauli zao za WC iliyopita kuwa ushindi wao sio kwa Waafrica ni kwa Waarabu.