Kuna accounts hapa X zilini-inspire sana nilipokuja hapa 2016. Lakini zilikuwa zinapungua kwa kuacha kutweet, ikawa siku, ikawa miezi na sasa ni 2024. Sijui ni nini kilitokea, maybe walikufa? or maybe waliamua kufanya mambo mengine! True from my heart nimewakumbuka sana.