@ze_mandevu Bora kuteseka na mvua kuliko kujitoa ufaham kuliko kuliko kuingia heka heka za klinik baada ya mvua na mtu asiyesahihi,,nyg haziuwi stay strong
@TanzaniaOneJezi Tumia sabuni ya tetmosol,,baada ya kuoga kausha vizuri na taulo then paka sonaderm cream x 3 kwa siku uck lala kwa kujiachia bila nguo