Hiki CHAMA ni mpango wa MUNGU, TAZAMA NYOMI HILO.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. @hechejohn, akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Septemba 30, 2026, katika Mji wa Nansio, Ukerewe.
#OperationFreeTunduLissu
REPOST 200.
Shule ilitudai akili, mitaa inatudai Mafanikio,na Wazazi wanatudai shukrani ikitokea umefika kabla yetu usitie miba katika njia zetu. Imani yetu ni kwa
Mungu🙏.
Tumebakiwa na mungu tu.🙏💪
Ukiwa mdogo huenda usione kila alichopitia baba yako. Lakini siku moja utaelewa kuwa alibeba mizigo mingi kimya kimya ili familia yenu isimame. Hata kama nyumbani hamkuwa wakamilifu.
Happy Father’s Day kwa baba wote. 🙏
Asante MUNGU hili gumu sana limepita.
Kesho narudi RASMI kuendelea na kazi ya kushughulika NA WAKOLONI WEUSI.
Haya magumu ninayopitia wao ndio chanzo kikuu-siwezi kuwaacha mpaka naenda KABURINI.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
BACK BENCHA tunawakumbusha kuwa haijalishi NDOTO zetu zipo mbali kiasi gani ila ikitulazimu KUKIMBIA tutakimbia KUZIKIMBIZA ndoto zetu na haijalishi nani ANATUAMINI au nani HATUAMINI ila tutapambana kwakuwa TUNAJIAMINI huku tukimtegemea MUNGU.
Morning Africa.💯💥
Listen to your heart and not your ego. Your ego prompts you to boast of vain assertions to obtain the glory of this world. Turn away from vanity and seek Him in the recesses of your heart and soul.
Hazrat Abdul Qadir Jilani
Dear wafalme,
Kama hakuna Mwanamke aliyewahi kumwambia wewe ni mbinafsi, Jeuri na unajisikia sana.
Unatakiwa kuelewa kwenye Dunia ya mahusiano bado sana.🫡✅
MABINTI
Wanaume hawataki kupendwa,wanataka kusikilizwa na kuheshimiwa Akisema NO ni NO Akisema YES ni YES, Majanga yakitokea kwasababu ya maamuzi yake atapambana nayo.
FULL STOP.✋️