@Sirjeff_D@Sirjeff_D supplier wa nafaka Dodoma mashine mbili ya kusaga moja 3.6 +ya kukoboa 3.6 ya kushona gunia 300k eneo 4m Guta 3.5 installation 5m registration + company name and logo 1m final 5 m mahindi gunia 50 za kuanza
@TMnyama4_ Unalala kwenye kiti masta au mto unakua mkubwa shingo inajikunja oxygen inakua kidogo kwenye ubongo unaishiwa nguvu unaona unakabwa jinamizi Ni msemo tu
@TMnyama4_ “Mpenzi wangu, najua nimekukosea na nahisi uchungu mkubwa kwa kile nilichofanya. Tafadhali nisamehe. Nitafanya kila niwezalo kurekebisha makosa yangu na kuhakikisha kuwa hatimaye unaniona kama mtu anayekujali kweli.”