Pichani ni Dkt. Joseph Mutahangarwa, Mtanganyika wa kwanza kufika elimu ya chuo kikuu, alisoma Chuo cha Makerere mwaka 1933 na pia daktari wa kwanza Mwafrika mtanganyika, alifanya kazi hospital ya Sewa Haji, DSM wakati wa utawala wa waingereza #ElimikaWikiendi