Ni jioni nyingine unatulia ndani ya #GoodEveningKenya upate uhondo katika #Porojo na JK Kmau Munyua , siku yako imekuwa powa? karibu porojoni #RadioNumberOne
@RadioCitizenFM@sellyamutabi Nakupata loud n clear strait outta Migori county Rongo sub county nikiwa na mke wangu Venah Achara na mtoi wetu Sidney Paul