Hili taifa litakombolewa 29.10.
Tutakuwa na Tanzania mpya ambayo itazingatia HAKI kwanza. HAKI ndio italeta AMANI & UPENDO.
GEN Z tumepewa hii nafasi haiji kutokea tena. Kila mtu awajibike kwa nafasi yake tutashinda.
Sababu za KUANDAMANA kuidai Tanzania mpya TUNAZO.
Uwezo wa kuandama kuidai Tanzania mpya TUNAO.
Uzuri ni kwamba Sisi tupo Wengi kuliko wao. Namba haidanganyi.
REPOST 200
#SiriNiNamba
#OKTOBATUNATOKA
#TUPOWENGI
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
“Mimi siwezi kuwakashifu au kuwazungumzia Wakenya vibaya, wamenilea kimziki na kunisupport sana. Utofauti wao na Mama Samia sijajua nini chanzo. Lakini niwaambie tu ukweli kwamba Kenya wamepiga hatua kubwa kimaendeleo na kidemokrasia wanajielewa sana,” - Alikiba
@Sativa255 Huyu aliacha makusudi kuonesha yuko upande wa wananchi ila kwavile ni maelezo ya boss na analinda ugali wake hana namna kufanya.
So aliacha makusudi ili kurahisisha kazi ya mashujaa @Sativa255