Maandamano ya kihistoria siku ya ufunguzi wa Afcon 2027.
Hawatoweza kuzima internet, hawatoweza kujaza askari na mitutu ya bunduki barabarani, hawatoweza ku-lockdown watu.
This is a chance of a life time kuleta haki kwenye nchi yetu….
Tuitumie afcon 2027 kuonyesha dunia kuwa Watanzania tunapambania uhuru na haki kwenye nchi yetu na kwamba tunahitaji msaada wa dunia.
Hakutakuwa na Afcon Tanzania ila kutakuwa na maandamano ya kudai haki…………..
Maandalizi na grassroots campaign zianze sasa.
Hizi code ni muhimu sana kuzijua wewe Mwanamtandao 😎👇
Karibu ujiunge nasi TECH HUB kwa link hii https://t.co/v7T1c4bwAN
🌐💠 CALL FORWARD (Simu kuelekezwa kwa namba nyingine) 💠🌐
📞 All Calls: **21*NUMBER# ➤ Simu zote ziende kwa hiyo namba
📞 When Busy: **67*NUMBER# ➤ Ukiwa kwenye simu nyingine calls zitaenda Kwenye hyo namba
📞 No Answer: **61*NUMBER# ➤ Usipopokea, calls zitapelekwa Kwenye hiyo namba
📞 Not Reachable: **62*NUMBER# ➤ Simu ikiwa imezimwa au mtandao jau
❌ Futa zote: ##002#
🔐💫 CALL BARRING (Kuzuia Simu/SMS) 💫🔐
🚫 Zuia simu kutoka (Outgoing): *33*0000#
🚫 Zuia simu kuingia (Incoming): *35*0000#
📩 Zuia SMS kutoka: *16*0000#
📩 Zuia SMS kuingia: *17*0000#
❌Ondoa barring zote: #33*0000#
🔑 PIN default ni 0000 (unaweza ibadilisha kwa usalama zaidi)
🛰️✨ CALL WAITING (Kusubiri Simu nyingine ukiwa kwenye Call) ✨🛰️
✅ Washa: *43#
Ukiwa Kwenye call haitosema kama unatumika
❌ Zima: #43#
📞 Ukipokea simu mpya, wa kwanza atakuwa umemsubirisha
🚫🔎 CALLER ID (Kuficha namba yako) 🔎🚫
📞 Piga bila kuonekana: #31#NUMBER
👉 Mfano: #31#0754000000
Inafaa sana kama mtu unamdai afu unampigia haokoti 😁
📡💥 NETWORK RESET (Kurudisha settings zote) 💥📡
🔄 Code: ##004# ➤ Inafuta forwarding, waiting & barring zote kwa pamoja
💡⚡ BONUS TIP ⚡💡
Unataka simu yako ionekane haipatikani bila kuzima?
➡️ Fanya forward kwenye namba ambayo haipo (mfano *62*000#)
😂 Mtu akipiga atasikia “Namba unayopiga haipatikani kwa sasa...”
👑 Mtoto wa kwanza wa kambo wa Clemence Mwandambo nimemalizaa🥹
@JacobsBen@alex_crook BREAKING: Newcastle wametoa dau la €75m+€5m kwa ofa ya rekodi ya Klabu ya Benjamin Sesko. Mbinu ya Newcastle siku zote imekuwa kupata makubaliano ya haraka na Leipzig kwa matumaini #MUFC hawawezi au hawatayafikia.