Ukitaka kujua kama Mungu amekubariki, angalia kwanza kama una afya njema. Hata kama bado hujapata mengine unayotamani, uhai na afya ni baraka tosha. Kuna watu wako hospitalini wakipambania uhai ambao wewe unauchukulia kawaida🤍
ZAMBIA mafuta yao yanapita Bandari yetu ya DAR-leo bei za mafuta ZAMBIA ni ndogo kuliko kwetu.
Bandari hii MUNGU alitupa kama taifa sio kwabahati mbaya—ila chaajabu imegeuka LAANA kwa wananchi.
Sababu za bei ya mafuta kuwa kubwa kuliko Zambia tunaambiwa ni Ujenzi wa miundombinu ikiwemo barabara, leo mvua dar zikinyesha mji unageuka kama DAMPO la mkoa (Mafuriko kila kona).
Hawa WAKOLONI WEUSI hawana huruma na sisi kabisa—ndiomaana wanapambana usiku na mchana kuteka na kupoteza watu wote ambao wanauliza maswali magumu.
Hii nayo ni humiliation😡💔,kumaanisha TAL kakurupushwa usingizini na kuambiwa twendetwende😭, wamemwarakisha mzee atoke akiwa hajajiweka sawa kuja kusimama mbele ya audiance,? hii mijibwa hivi yanajua kuwa LISSU Yupo gerezani kwaajili ya kuwatetea wao? muda ni rafiki mzuri, kila kitu kitakuwa bayana, usikate tamaa mzalendo🔕