Kuna jamaa anaitwa Christopher Mponji yuko TikTok anafanya Content za Single Maza inabidi azuiliwe maana kule ni kuwaharibia sidhani kama anajenga kwenye Jamii…
Watu wanaeza wasiwaoe au kuwaacha kabisa
Kuna mwanangu mtaani leo alisema ngoja nikusimlie kisa changu mdogo angu.
This's how women Did!
Mwana anasema mwaka 2015,akiwa chuo kuna binti alikutana nae yeye akiwa mwaka wa pili na huyo binti akiwa mwaka wa kwanza chuoni hapo.
Walipendana sana,hadi walipokuja kumaliza chuo na Mungu akawabariki kuajiriwa baada ya kumaliza chuo Tu.
Baada ya mwaka mmoja wa uchumba,msela aliamua kufunga ndoa na binti huyo mara baada ya kugundua alikuwa kakutana na mwanamke ambae hakuwahi kulala na mwanaume yeyote kabla.
Familia yao ilikuwa yenye upendo na furaha,baada ya Muda Mungu akawabariki mtoto wakiume waliomuita HABEL hali iliyofanya ndoa yako kuwa na furaha sana.
Siku zilienda na miaka ilikatika siku moja mke wake akiwa anatoka kazini alipata ajali iliyopelekea mauti hapohapo.😭
Msela anasema maisha yake,yakaanza kuyumba baada ya kifo cha mke wake.
watoto wake walilia sana kumpoteza mama na yeye alilia kumpoteza mwanamke aliempenda.
siku moja baada ya kifo cha mke wake,mtoto wake aliumwa upungufu wa Damu na baada ya majibu ya daktari,yeye kama baba alihitajika kuchangia damu.
Baada ya muda anasema,aliingia kwenye chumba cha daktari na kutoa damu na baada ya hapo ikachukulia na ya mtoto kwaajili ya vipimo.
Baada ya muda taktari alirudi na majibu ya kuwa DNA,kuwa baba na mtoto vinasaba haviendani.
Bruh,anasema maumivu yaliongezeka katika maisha yake mara baada ya kudungua kumbe mtoto si wake na mama hayupo tena.
anauliza afanye nin kwaajili ya furaha yake duniani?
1. Mwambie kweli kama unampenda ama unataka show usepe
2. Watata sana ukiwa dwanzi atakupelekesha
3. Kama ni Nairobi hakuna “dame wako” kuna “dame wetu”
4. Story ya Submission sahau
5. Wengi hawajui kupika kama wa kwetu
6.Akikupenda kweli UtaEnjoy
Ukitoka kijijini kwenu ukafika mjini ukapata hifadhi kwa mtu unatakiwa kujiheshimu sana.
Kuna story moja ya ukweli - kuna mwana alikua anakaa mjini anajitafuta alifanikiwa kupanga chumba kimoja na kuendesha biashara zake umachinga.
Siku moja akiwa kwenye shughuli zake.
⤵️
@DoneSome18 Wewe tupia tu unavyoweza kila mtu atajimegea anavyotaka
Mikeka inayotoboa sio inayo aminika sana,,, Mbali na Analysis zote Betting bado ni bahati
2008 kuna dada mmoja alipata mchumba.
Jamaa kila akienda kwao na mke iliwafunge ndoa
Anashikwa na ugonjwa.
Akirudi kwao anapona.
Sasa kumbe wakati mkali anaforce mwanamke alikuwa na mimba.
Mwisho familia ikamwambia mkali asubir mke azae.
Mkali kasema sawa
Basi bhana
Kuna dogo hapa wa nyumbani kabisa na ni ndugu angu!🙌
Janja kachukua manzi kutoka SINGIDA huko,imemfata CHUGA.
Dogo kakaa na manzi kama wiki mbili sasa.
LEo dogo anasema,anataka kuoa yupo tayari kuwa Mume na Baba sasa.
Sina Mengi,coz bado mdogo kwangu nilichomuuliza ni umejipangaje na majukumu ya ndani ya ndoa ukiwa under 25.
Dogo kasema ntaenda kujua hukohuko!🙌
X Bro's and Men,Naombeni Nondo za ushauri kwa dogo wa kumpa kitu kwenye ubongo!
Jamaa amepiga mchepuko hii weekend vizuri mno , tangu ijumaaa mpaka leo mchepuko wa Kisasa na mkewe anaishi nae Ntyuka huko.
Sasa Juzi mchepuko alimwambia ana mimba na anataka azae nae tena ikibidi awe mke mdogo .
Jamaa akawa mkali mchepuko akawa mpole kumbe ana ajenda yake Kaificha kabatini 👇👇
TRUE STORI
Kuna jamaa mmoja ni done sana, jamaa alimuajiri mdogo wake kwenye moja ya mradi wake.
Dogo kakusanya zaidi ya Million tisa, halafu badala ya kuipeleka bank, kaingiwa na tamaa akakimbia nayo.
Oya jamaa anasubiri muamala usome anashangaa hewa tupu.
Huyu jamaa ni janja, ila kuna kitu hamjui hajatokea kwenye njaa. Ndiyo maana hata ukiangalia anavyowahoji wale jamaa waongo-waongo kama Room of Jeans na Mbepali, huwa jicho halimtoki. 😂
Lakini cha kushangaza, kwenye broadcast yake huwa anawaita watu wanaoruka story kuhusu kufanikiwa.
Sasa hapo ndipo najiuliza unawahoji watu wa aina gani, na unataka kuwafundisha nini wanaokufuatilia? 👀🔥
Leo Kuna mmama alikua analia sana kwa church akiombewa ,akaulizwa shida ni Gani akasema kutoka bwanake akufe ana amani aty anaota nayeye Kila siku ,akambiwa aache ujinga ajiteganishe na huyo mtu kabisa na atoe vitu zake kwa nyumba,akauliza pastor mpaka nguo za Dani, pastor akamuliza kwani unafaanga hizo innerwear zake😂Ivo divyo nilitolewa nje juu ya 😂😂
Nilishika simu ya mke wangu akichat na Jamaa mwingine na akasema ni Rafiki ake tu wanaheshimiana sana .
Nikamkalisha chini na kumuuliza lini alimuona mama yake ana bestie wa kiume . Akaanza kujitetea oooh hayo mambo ya Zamani.
Nikamwambia mpigie huyo bestie ako , weka loud speaker , mwambie Una nyegge zimejaa kisado na home uko pekeako mimi nimesafiri . 👇👇
Kuna jamaa Tunaishi nae jirani ni kichwa hatari kazini wanamkubali kinyama yaani .
Sasa kuna siku ameamka amechelewa kazini kwasababu jana yake waligombana na mkewe ko ikabidi awahi huku simu ya dharula ikiwa inataka afike chap chap Hospitali.
Sasa kufika njiani kasahau wallet , kasahau na simu what a bad day . Hakuna mtu wa kumpeleka bila hela ikabidi Aombe Lift ya Gari 👇👇
Kuna mshikaji nilikuwa nafanya nae biashara mwaka jana,badae akajichenga.
Miezi kama miwili alikuja mke wake kuleta zile bidhaa,alizokuwa analeta Mume wake.
Baada ya kama mwaka mshikaji alirudi kwa mke wake,baada ya kupata taarifa anaumwa sana.
Maisha yao sio mazuri sana lakini,mwanamke alikuwa anampenda sana Mume wake.
Leo jamaa kaja ananipa taarifa kuwa mke wake kafariki last week,nikiwa kwenye trip yangu ya mapumziko.
Mshikaji anajuta sna,leo analia kwa uzembe alioufanya wa kuitelekeza familia"😭
BRO'S AND SISTER'S TUPENDANE SANA TUKIWA KWENYE NDOA AU MAHUSIANO YETU,KESHO NI FUMBO NA MBINGUNI TUTARUDI.💔🙏
Kuna jamaa pale tiktok alikuwa anashare chats namna anavyomtongoza mama mkwe mpaka akamla .
Tena akanogewa kiasi kwamba jamaa akataka mahusiano yavunjike. Pale ndo niliona Dunia imeharibika sana
Mwaka jana nikiwa ndio najifunza matumizi ya Hela za Kanji kuna ishu ilitokea unajua ilikuwaje.📌
Siku moja nikiwa chuoni pale UDSM maeneo ya SOED,kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana.
Binti mwenye rangi ya maji ya kunde aliebarikiwa shepu na akili.
Nikiwa kwenye Mawazo ya kujua nampataje,kuna mwanangu mmoja alisema hii manji haina mtu unaweza ishi nae.
Nikamwambia haina noma,napataje mawasiliano yake jamaa akasema me ninazo namba zake ntakupa lakini "USINITAJE",nikamwambia kwisha Enyewe.
Siku kama 4 zilipita ndipo nikaicheki ile manzi na kuiambia mimi ni nani na nini nataka kwake.
Demu alinisikiliza lakin alikuwa anaaangalia Pochi inasemaje,Basi bwana tukapatana kuwa ni 30k kulala.
Siku ilipofika nilimtumia location tukutane " GALAXY HOTEL 3", For date manzi alifika.
Nilifanikisha kila kitu,na nikamlipa chake.
Siku moja nikiwa nimetulia zangu maeneo ya "TANDIKA PLAZA" pale uliingia ujumbe unaosem "KAKA NIAJE,SAMAHANI LAKINI NDIO UKWELI YULE DEMU NI WANGU NA NI MUATHIRIKA WA (HIV).,me naomba uachane nae.
Najiuliza kwanin mshikaji aliamua kunipitisha kwenye moto,mwana kanisaliti kwa macho yangu!😭