@nyuki_malkia 1. Hulka
2. Tamaa mbaya
3. Kutafuta faraja (kutokana na manyanyaso ya mume)
4. Ndoa isiyotarajiwa (kulazimishwa kuolewa, ndoa z utotoni)
5. Curiosity (kupenda kujua tofauti ya ndani na nje, mweusi na mweupe, mnene na mwembamba,n.k)
@flahisha Aruke kichurachura na kupitia kila kituo Cha bodaboda huku anaimba "Bodaboda tuache upumbavu"
Hawa wanasababisha wote tunaotumia pikipiki tuonekane hatuna akili.
LIKIZO KWA WANAFUNZI
Walimu, Serikali na Raia tumefeli wapi?
DHULMA YA LIKIZO DHIDI YA WANAFUNZI INASABABISHWA NA NINI?
Kwa nn wanafunzi wasipewe likizo kama inavyoainishwa kwenye ratiba za mihula?
Je, Mtumishi ukipokwa likizo utakubali?
@tamisemi
@godbless_lema Sasa si muwaache jamaniiii.... Tukiwafuatikia hivi ni kama inatuuma eti!π€£
We ni mkubwa sana kuhangaika na hutu tuvitu...munawapa mileage na unaonekana umekosa Cha kufanya.
@eastafricatv Nawadai "Defense"
Simba ni mbovu sana kwenye defense.
Goli tunazofungwa ni za kizembe sana kuliko tunazofunga.
Sasa like goli la leo lilijjwa la kufungwa kweli?
Camara nae analeta mazoea.... Ametaja kuleta majanga kama ya second goal kwenye final match 1